Recent content by Mwana Dodoma

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni mara ya pili namkopesha mtu pesa kumbe anataka akalipe Logde

    Lakini si amekopa, au ni umempa bure?[emoji28][emoji28]
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majaribu ya wanawake: Nakuja lakini hatutafanya lolote

    [emoji28][emoji28][emoji28] Dah...
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yaliyonikuta Tabora 2018, sitachukua kahaba wa kulala nae tena

    Hii balance kuna mahali inakuja kufeli hii...[emoji1][emoji1][emoji1] Niamini mimi
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yaliyonikuta Tabora 2018, sitachukua kahaba wa kulala nae tena

    Pole...[emoji28][emoji28][emoji28] Kwahyo ulishakoma au ukarudie japo mara moja ya mwisho!?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yaliyonikuta Tabora 2018, sitachukua kahaba wa kulala nae tena

    Mwana hajasoma underground[emoji28][emoji28]
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume/Mpenzi kumfanya mwenza wake kama punda wa ngono

    Ndiyo maana mnaambiwa muoane na wa kufanana nao, wapo wanaopenda kufanya kila mara au kila siku, na wasiopenda. Mnapotaka oana mjuane pia kwa hilo. Siyo mnakuja kutumalizia bando kwa kesi zisizokesi.
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume/Mpenzi kumfanya mwenza wake kama punda wa ngono

    Shukuru Mungu wewe unaona umeelimika juu ya hilo, lakini usikejeli anayezaa na kushindwa kulea.
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume/Mpenzi kumfanya mwenza wake kama punda wa ngono

    ANGALIZO... Kufanya mara kwa mara hakuna uhusiano wa moja kwa moja na mimba za kufuatana.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Unamshauri nini kijana asiye na ajira ambaye yupo tu mtaani?

    Kama hadi na hizo fani unahitaji tukuchagulie mzee baba... Bas endelea tu kuaa home kwanza. Ahh namaanisha aendelee kukaa home kwanza huyo jamaa. Mbona zipo nyingi tu, ni hizo shughuli unazoona semi skilled labour wanafanya.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Unamshauri nini kijana asiye na ajira ambaye yupo tu mtaani?

    Anaweza hata kujifunza fani yoyote nyingine mtaani itakayomuingizia kipato, zipo shughulu ambazo zinachukuliwa poa sana mtaani, lakn zinaingiza kipato kinachoweza kufaa kujikimu. Siyo lazima kuangalia zaidi ajira inayohitaji elimu ya darasani.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Unamshauri nini kijana asiye na ajira ambaye yupo tu mtaani?

    Nakubaliana na wewe...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Unamshauri nini kijana asiye na ajira ambaye yupo tu mtaani?

    Elimu siyo lazima itolewe chuoni, smartphone tu ikitumika vizuri ni chuo tosha.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Unamshauri nini kijana asiye na ajira ambaye yupo tu mtaani?

    😅 😅 😅 😅 😅 hiyo itakuwa ndiyo njia uliyopita wewe mzee baba.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Unamshauri nini kijana asiye na ajira ambaye yupo tu mtaani?

    Kwa uzoefu wangu mdogo nilionao kuhusu mtaa, ni mkwamba mtaji wa laki 1 au 3 ni ngumu mno kutoboa (ingawa mtaji wakati mwingine siyo hoja sana), ila wachache sana wanatoboa na hicho kiwango cha mtaji. Sasa ninachoweza kumshauri ni kuweza kujitofautisha na vijana wengine kwa kujiongezea elimu...
Back
Top Bottom