Wewe ni kilaza wa mwaka mzima! soma elewa kama huelewi uliza au wewe ndio Dr Juma Magogo? unaona vifo vya watu watatu waliokufa kwa uzembe ni vichache? lazima utakuwa bonge la mwendawazimu na katili kama Hitler
Bora umeona mimi nimeleta hili jambo kuokoa maisha ya watu,wananiita mfitini.Hoja hapa kuna uzembe wa hali ya juu ambao maisha ya watu watatu yamepotea.Maisha haya mbadala yakipotea yamepotea.Tuendelee kupaza sauti zetu
Chuki ya madaraka na nani? mimi sifanyi na sijawahi kufanya kazi hapo wala sina hiyo taaluma hapa pana tatizo ni wajibu wa wadau husika wote kuchukua hatua na wewe usiende kutibiwa hapo hadi hatua za makusudi zichukuliwe.Hii ni sauti ya muhanga
Mimi sina ugomvi nimeleta uzi hapa kutoa tahadhari ili muokoe maisha yenu na wapendwa wenu,huyu CEO amemuajiri Specialist kama Super Super ambaye amegharimu maisha ya watu watatu! Dayosisi ianhusika maana wanapaswa kusimamia taasisi zilizo chini yake.Mimi sina mgogoro na yeyote
Hospital ya Selian Arusha(ALMC) ni hatari kwa maisha ya binadamu!
Hospital ya Selian Arusha ALMC Pamoja na Dayosisi ya Arusha Mjini imeingia kwenye kashfa nzito.Kwa muda mrefu Dayosisi hii inayoongozwa na Baba Askofu Masangwa imeshindwa kusimamia miradi mbalimbali ya Dayosisi,miaka kadhaa nyuma...
Hospital ya Selian Arusha ALMC Pamoja na Dayosisi ya Arusha Mjini imeingia kwenye kashfa nzito.Kwa muda mrefu Dayosisi hii inayoongozwa na Baba Askofu Masangwa imeshindwa kusimamia miradi mbalimbali ya Dayosisi,miaka kadhaa nyuma ilishindwa kusimamia ikiwepo hotel ya kitalii ya corridor hali...
Wanabodi salaam
Hii ni barua ya wafanyabiashara mkoa wa Arusha wakilalamika bwana mmoja, huyu jamaa bado yupo enzi zile za pontio plato za kutishia watu ili ajipatie fedha, anakufanyia upepelezi feki ili iwe rahisi kukufanya utoe fedha
Taarifa za uhakika huyu bwana ana ukwasi mkubwa na...
Jumla ya orodha ya vitabu nilivosoma mwaka 2020
1. Bibilia Takatifu(sijaimaliza lakini nakisoma kila siku kama sehemu muhimu ya chakula cha kiroho)
2. Mossad (Moja ya vitabu bora kabisa katika Nyanja za Operesheni za Kijasusi katika historia ya Taifa la Israel
3. Tough times never Last but...
Katika hali ya kushangaza Dunia, mahakama ya hakimu mkazi Arusha,imesema haina mamlaka ya kutoa dhamana kwa Washtakiwa 20 ambao ni wanachama na viongozi wa CHADEMA wanaokabiliwa na Kesi no 72,75 na 76 zote za Uhujumu Uchumi zinazokabili wanachama 20 wa Arusha Mjini na Arumeru Magharibi
Hakimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.