Recent content by Mwamgunda

  1. Mwamgunda

    Boxer 150 ipo sokoni kwa wale wa mkoa wa Mwanza na mikoa ya jirani

    Habari za asubuhi wadau wa humu, nauza pkpk yangu aina ya Boxer, pkpk imenunuliwa mwaka jana mwezi wa kumi na bado ipo ktk hali nzuri coz Ingine yake haijawahi kuguswa. Bei ya kuanzi ni 1.6 Mil, mazungumzo kdg yapo, mzigo upo Mwanza! Kwa mawasiliano zaidi nitafute kwenye 0756501393
  2. Mwamgunda

    Naombeni ushauri nataka kununua gari aina ya Toyota Wish au Toyota I.S.T

    Thanx Thanx kwa ushauri bro, vipi naweza kupata link ya hao jamaa? Nipo Mwanza kimakazi.
  3. Mwamgunda

    Naombeni ushauri nataka kununua gari aina ya Toyota Wish au Toyota I.S.T

    Rejea mad husika wapendwa, bajeti yang ni Milioni 17. Je, ni aina gani ya gari ninunue kati ya Toyota Wish na Toyota I. S. T kwaajili ya matumizi ya familia? Means imara, comfortable na isiyokula mafuta sana. Karibuni kwa ushauri!
  4. Mwamgunda

    Tuna mtoto wa miezi saba, mke wangu mjamzito. Ushauri pliiiz!

    Kiukweli nimefarijika sana na ushauri wenu wa kunitia moyo, sina neno zuri la kuwashukuru zaidi au cha kuwalipa. Ila tu mwenyezi mungu awabariki na kuwatia nguvu!
  5. Mwamgunda

    Tuna mtoto wa miezi saba, mke wangu mjamzito. Ushauri pliiiz!

    Kiukweli nimefurahia sana ushauri wako, ila wengine nadhani wapo ili kuwakatisha wenzao tamaa. Anyway Mungu akubariki sana ndg yangu!
  6. Mwamgunda

    Tuna mtoto wa miezi saba, mke wangu mjamzito. Ushauri pliiiz!

    Habari za Jumapili wakuu! Kwasasa tuna mtoto wa kike mwenye umri wa miezi saba, juzi mama mtoto wangu kafanya vipimo kakutwa na mimba ya wiki tatu. Naombeni ushauri, hasa namna ya kuhandle hali hii ili kulinda afya ya mwanangu anaenyonya. Mungu awabariki sana!
  7. Mwamgunda

    Polisi ajiua kwa risasi kituoni

    Dah! Huyu jamaa namfahamu, nimegraduate nae chuo kimoja japo yeye alienda kuwa askari na mimi kuajiriwa sekta nyingine! R.I.P Charles
  8. Mwamgunda

    Polisi ajiua kwa risasi kituoni

    Dah! Huyu jamaa namfahamu, nimegraduate nae chuo kimoja japo yeye alienda kuwa askari na mimi kuajiriwa sekta nyingine! R.I.P Charles
  9. Mwamgunda

    Suzuki Escudo for sell

    Kamata Mil 6 Cash
  10. Mwamgunda

    IST inahitajika

    Mcheki Ney wa mitego akufanyie mpango pale kwny ofisi za airtel.
  11. Mwamgunda

    Used Subaru for sale

    Mil 7 tufanye biashara mkuu, nimekapenda nimnunulie my wife wangu!
  12. Mwamgunda

    Msaada: Mwanangu anaugua vipele kama vijipu, nini tatizo?

    Poleni na majukumu waungwana, mwanangu kwa sasa ana miezi sita. Ila amekuwa akisumbuliwa na tatizo la kutokewa na vipele vinavyotunga usaha, wakati mwingine vibalango. Naombeni ushauri au tiba mbadala kwa wenye uzoefu na watoto coz kwa upande wangu huyu ni mwanangu wa kwanza hivyo sina ujuzi wa...
  13. Mwamgunda

    Kuhusu fedha za likizo kwa waalimu wa wilaya ya Busega mkoani Simiyu!

    Tulijaza fomu za kuomba kulipwa fedha za likizo tangu mwezi wa 11 mwaka jana, mpaka leo hakuna kitu kilichofanyika, hata wale walioomba malipo hayo mwezi wa sita mwaka jana hakuna malipo waliyopewa. Tunafungua shule trh 13 yaani wiki ijayo, je tukigoma kuingia madarasani kufundisha hali...
  14. Mwamgunda

    Mwalimu wa Linguistics na Literature

    Kama ni wa UDOM hapana, ingekuwa umegraduate UDSM au SAUT ungepata nafasi hapa shuleni kwetu, but graduate wengi wa UDOM ni vilaza kupita maelezo.
Back
Top Bottom