Recent content by Mwamedi Hassani

  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Kutoka Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma: Kampeni za Dkt. Magufuli kusaka urais 2020-2025

    Dr. Bashiru alisema kama waona donge si nanyi mtumie...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif Sharif: Mwisho wa enzi, Pemba

    Ukiwekeza katika utumishi mwema,kuheshimu kila mmoja ni dhahiri kuwa WEMA NI AKIBA ndicho hasa tunakiona kwa Dr. Mwinyi aliwekeza wema na sasa atavuna matunda ya wema wake kwa waPEMBA na waZanzibar kwa ujumla wao
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hoja ya maslahi ya watumishi wa Umma inavyopotosha na Wapinzani

    Huruma, Upotoshaji ndio kipaumbele cha upinzani katika uchaguzi huu, wameshindwa kujibu hoja Mahufuli ni mafanikio
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Urais ni taasisi na cheo cha hadhi kubwa sana, hatuwezi kukigawa kwa huruma wala kwa muongo

    Hata chizi huwaona wengine wote machizi na yeye pekee ndie mzima
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Urais ni taasisi na cheo cha hadhi kubwa sana, hatuwezi kukigawa kwa huruma wala kwa muongo

    Uchaguzi ni tofauti na ligi, wote tutafika fainali yaani siku ya uchaguzi lakini uliyoyafanya/uliyoyaahidi ndio mtaji wa ushindi wako
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Urais ni taasisi na cheo cha hadhi kubwa sana, hatuwezi kukigawa kwa huruma wala kwa muongo

    Ulipoanza nikajua kuna kitu ndani yako ila nimegundua kama ni wapumbavu basi wewe ni mpumbavu mkubwa kwakua kwakushindwa kujibu hoja hizo umetanguliza upumbavu na upuuzi, hakuna hofu katika uchaguzi huu na magufuli atashinda kwa asilimia zaidi ya 80
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Urais ni taasisi na cheo cha hadhi kubwa sana, hatuwezi kukigawa kwa huruma wala kwa muongo

    CCM amani ni kipaumbele lakini hatuna hofu kwakua wananchi hawana sababu kuichagua chadema
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Urais ni taasisi na cheo cha hadhi kubwa sana, hatuwezi kukigawa kwa huruma wala kwa muongo

    Nadhani CHADEMA walimtizama Lissu kama mtu pekee mwenye storry mbele ya wananchi na si uwezo wa kugombea nafasi ya urais wa JMT
  9. M

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa kampeni za CCM Zanzibar: Mwinyi kuhakikisha Zanzibar inanufaika na bahari, kuleta Upendo na amani

    Hatutaacha kuwakumbusha ninyi pamoja na viongozi wenu kuwa propaganda hazikupi kura ila sera, umemsikia Dr. Mwinyi akizungumza propaganda yoyote leo? yuko very straight na sera zake na mikakati, sasa tutege sikio kesho, yaani upinzani wa bongo ni wa hovyo walopokaji wengi
  10. M

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa kampeni za CCM Zanzibar: Mwinyi kuhakikisha Zanzibar inanufaika na bahari, kuleta Upendo na amani

    uo utopolo wa ansbert ndo upuuzi, sidhani kama tundu lisu na salumu wanalala wakijitathmini wanaweza kuwa rais na makamu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa kampeni za CCM Zanzibar: Mwinyi kuhakikisha Zanzibar inanufaika na bahari, kuleta Upendo na amani

    Kusanyeni sababu na malalamiko yote kabisa ili baada ya trh 28 muwe na chakuzungumza
  12. M

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa kampeni za CCM Zanzibar: Mwinyi kuhakikisha Zanzibar inanufaika na bahari, kuleta Upendo na amani

    Aliojichekesha nani sasa apo? Endeleeni na propaganda mtaendelea kuisoma namba
Back
Top Bottom