Recent content by Mwambetania

  1. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Vitalu vya kuvuna kuni na mkaa kwa uhifadhi wa mazingira

    Katika Karne hii kuja na wazo linaloleta suluhisho la matumizi ya nishati inayotumika zaidi katika jamii kwa lengo la uboreshwaji wa njia za kupambana na mabadiliko ya tabia nchi, pokea pongezi nyingi kutoka kwangu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Elimu ya kidato cha sita inatusaidia nini watanzania

    Ninavyo itazama elimu hii ninaona kama inamaliza kipato cha Watanzania {wazazi na walezi} na pia inawapotezea muda vijana wa kitanzania [Wanafunzi]. Kwa nini naiona hivyo? Elimu hii imeshindwa kuwaanda wanafunzi kuweza kuitumia katika jamii inayowazunguka (unapplicable), na hivyo kuwaacha...
Back
Top Bottom