Elimu ya kidato cha sita inatusaidia nini watanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Elimu ya kidato cha sita inatusaidia nini watanzania

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mwambetania, Jul 31, 2011.

 1. M

  Mwambetania New Member

  #1
  Jul 31, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ninavyo itazama elimu hii ninaona kama inamaliza kipato cha Watanzania {wazazi na walezi} na pia inawapotezea muda vijana wa kitanzania [Wanafunzi].
  Kwa nini naiona hivyo?
  Elimu hii imeshindwa kuwaanda wanafunzi kuweza kuitumia katika jamii inayowazunguka (unapplicable), na hivyo kuwaacha vijana hawa kuwa tegemezi na kuzidi kuiongezea jamii mzigo mzito wa kuwalea vijana hawa. Tukizingatia umri wa wengi wao ni zaidi ya miaka 18, umri ambao nchi inasema ni umri wa nguvu kazi ya taifa.
  Nini kifanyike?
  Ili kupunguza huu mzigo kwa jamii, ni vizuri tukafuta elimu ya kidato cha sita na kuazisha mtaala wa kusoma "diploma", kwani elimu ya "diploma" inaweza kuwaandaa vijana kuweza kuitumia elimu yao katika jamii. Na hivyo kupunguza mzigo huu mkubwa kwa jamii.
   
 2. m

  mashizo Member

  #2
  Jul 31, 2011
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 43
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  huko sahihi kwa upande mmoja na vilevile uko wrong
   
Loading...