Naunga mkono,,,,, Tanzania ni yetu sote na tutailinda na Mali zake na Uhuru wake kwa pamoja,,,, tatizo kubwa ni ubinafsi wa mawazo na usiri usio na tija ktk mikataba, wapinzan tangu zamani wamedai mikataba yote ya uvunaji wa rasilimali zetu IPELEKWA BUNGENI NA KUJADILIWA LKN SERIKALI YA CCM...