Nani kakupotosha hivyo ya kwamba Shetani hana umiliki wakati yeye ndiye mtawala wa Dunia hii ? Anatawala biashara ama Uchumi, anatawala science , anatawala Elimu uliyo au unayo soma , anatawala historia , anatawala utamaduni , anatawala Afya , anatawala siasa ... anatawala hatima yako . Thread...