Recent content by Mwamalili

  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

    Aaaaiiiseeeee! Hemu ngoja nile kwanza ugali wa mtama umechanganywa na muhogo mboga ni kambale na chanise na mtindi.
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ukara: Wananchi wamuua mtu aliyetaka kumteka mgombea udiwani wa kata ya Bwisya kwa tiketi ya CHADEMA

    Ni kisiwa ndani ya kisiwa cha Ukerewe.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natamani sana Makonda aje kuwa Mkuu wa Mkoa Mwanza

    Upande wa chakula naona haina shida,wamemsagia mashudu,wamemchanganyia na pumba za mahindi na chimvi. Hatachelewa kukua na atakuwa na shape nzuri Kama baba yake
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natamani sana Makonda aje kuwa Mkuu wa Mkoa Mwanza

    Shangaa na weweee
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwani ni lazima wawe Wabunge?

    Masikini Kangi Lugora
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jina la kitaalamu la tunda hili na mti huu ni nini?

    Odala du
  7. M

    JamiiForums Tanzania Je, kupotea kwa Makonda ni kazi nzuri ya kitengo kumpiga misinformation agombee Kigamboni ili kuliondolea taifa adha ya viongozi wa hovyo?

    Sijui pa kuanzia!!! Connection plz. Tupo wengi tu hapa Tegeta
  8. M

    JamiiForums Tanzania Je, kupotea kwa Makonda ni kazi nzuri ya kitengo kumpiga misinformation agombee Kigamboni ili kuliondolea taifa adha ya viongozi wa hovyo?

    Sababu ya kukosa akili,Sasa ngoja sisi tuje tuifanye kwa uzuri kwake mpaka wezere isambae utazani tikiti maji limepigwa risasi za short gun.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ulinzi wa Lissu hatari, matukio yake yote yanarekodiwa

    Kwa sauti yupo kigamboni analea wezere lake
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 niliyojifunza katika mikutano ya Tundu Lissu ya kutafuta wadhamini

    Eti kulipa visasi,kwani wameshapatikana waliompiga risasi? Au umesikia wamekamatwa walinzi ambao hawakwenda lindo pale area D siku anashambuliwa?
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini Paul Makonda ametoswa na Patrobas Katambi amepata uteuzi?

    Akimsogeza Dodoma atawateka na kuwatesa na kuwauwa wabunge wenzie wa CCM wanaoikosoa serikali bungeni
  12. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini Paul Makonda ametoswa na Patrobas Katambi amepata uteuzi?

    johnthebaptist, Wa kumuuliza ni mtu mmoja tu,mmiliki wa hifadhi ya Burigi maana alisema tangu awali itategemea kaamkaje?
Back
Top Bottom