Natamani sana Makonda aje kuwa Mkuu wa Mkoa Mwanza

uporo wa wali ndondo

JF-Expert Member
Dec 3, 2013
3,455
2,237
Wanajamvi poleni na starehe ya weekend.

Mimi na wenzangu yani "sisi" watu wa mwanza tunapendekeza sana JPM kwa mapenzi yake, kama aliweza kumteuwa bwana Paul Makonda kuwa mkuu wa mkoa Dar jiji lenye changamoto nyingi na purkushani za hapa na pale fitina na majungu pia, pamoja na hayo yote huyu muungwana akaweza kuyamudu.

Kwa kipindi hichi huyu jamaa yuko bench, ingependeza sana huyu ndugu yetu aje kuwa mkuu wetu wa mkoa kwa mwanza, najua na nina imani kuwa ataweza kuzimudu changamoto zetu kutokana na mazingira yake na uzoefu aliokuwa nao "personal" mambo mengine na madogo madogo ya huku atayamudu nakuyaelewa jinsi siku zinavyoenda please makonda wa watu wa mwanza na ngoshas in general needs you alot. Asanteni matusi, kejeri na uungwaji mkono yote sawa.
 
Hafai kabisa.
 
Familia nyingi zinaongozwa na baba lakini sio baba wote wana elimu kubwa but familia zina kuwa well bond with those ngumbaru fathers.
Kwa nini usifikirie kupewa wewe? Huwa nawashangaa sana nyie watu kwa uhodari wa kuwapasha wenzenu lakini ninyi wenyewe mnajidharau...
 
Umelala umeota unajikojole.😄😄? Au kakupigia simu bashite uamke uje uweke bandiko huku kusikilizia upepo wa Dr John JOseph Pombe Maghufuli

Bashite unafulaisha kwa kweli kwa hiyo unataka mkuu wa mkoa wa Mwanza atolewe uwekwe wewe? Kama ulivyotaka Ndugulile atoke uingie wewe kigamboni, kwani weee nani ??🤣🤣🤣
 
Huyu ni Ma Keagan...
 
Wanajamvi poleni na starehe ya weekend.

Mimi na wenzangu yani "sisi" watu wa mwanza tunapendekeza sana JPM kwa mapenzi yake, kama aliweza kumteuwa bwana Paul Makonda kuwa mkuu wa mkoa Dar jiji lenye changamoto nyingi na purkushani za hapa na pale fitina na majungu pia, pamoja na hayo yote huyu muungwana akaweza kuyamudu.

Kwa kipindi hichi huyu jamaa yuko bench, ingependeza sana huyu ndugu yetu aje kuwa mkuu wetu wa mkoa kwa mwanza, najua na nina imani kuwa ataweza kuzimudu changamoto zetu kutokana na mazingira yake na uzoefu aliokuwa nao "personal" mambo mengine na madogo madogo ya huku atayamudu nakuyaelewa jinsi siku zinavyoenda please makonda wa watu wa mwanza na ngoshas in general needs you alot. Asanteni matusi, kejeri na uungwaji mkono yote sawa.
Natamani sana akija huko aanze na ule mpango wake wa kutaka kuwapima watu tezi dume nyumba kwa nyumba
 
Back
Top Bottom