Recent content by mwalongo lunanilo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yamsaka Nabii Namba 7 anayejitangaza kuponya Corona

    "Wanaangamizwa" kwa kukosa maarifa. Hosea 4:6. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tumeshahamia Dodoma lakini...

    Vyote ulivyovitaja (umeme, internet n.k) vinaenda kwa kasi zaidi kuzidi huo uhamisho. Hivyo nadhani maamuzi ya kuhamia hayajaathili kitu, wacha tuhamie maana Dodoma nako ni kwetu hatujatoka nje ya Tz. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kila nikilala na demu kesho yake lazima nipate hela au deal la hela. Nani mwingine inamtokea hii?

    Hiyo ya binti ni dhambi pia. Ila ya kumkata mwenzio pesa aliokosea kutuma, hujamtendea haki kabisa, haki yako ilikuwa ukate ile utakayokatwa na muamala wa kutuma fedha. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kila nikilala na demu kesho yake lazima nipate hela au deal la hela. Nani mwingine inamtokea hii?

    Unadhambi wewe Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom