Recent content by Mwalisu junior

  1. Mwalisu junior

    JamiiForums Tanzania Nimenunua umeme wa luku TANESCO wa Tsh milioni 3.9 lakini mpaka sasa sijapata token

    Nenda NMB omba kuonana na mkurugenzi wao then jieleze. Hao staff wanajivuta mpka waone oda kwa mkuu ndo wataifanyia kazi vininevyo watakuzungusha weeh ukate tamaa ela wachukue wao
  2. Mwalisu junior

    JamiiForums Tanzania Idea 3 za Biashara zinazoenda kuniweka kundi la Milionea by 2025

    Aiseh Mwanza kuna mkate unaitwa tiktok...mkate ule ni grade A, yan unaweza kula bila chai bila blueband...ni mytaaaaaamu sana
  3. Mwalisu junior

    JamiiForums Tanzania Maini ya mnyama ni matamu sana lakini...

    Unaacha kula maini, unatoka nje unapigwa na radi unakufa..... wwe kula bana ndo maana mnyamwa kabla ya kuchinjwa anyama inapimwa
Back
Top Bottom