Samahani waungwana mim ni hoja fupi tu
Hivi kulingana Na mada hapo juu HIV ni sawa kumfanyia hivyo mshkaji wako ambae katingwa Ila unapomsaidia unaweka kipengele cha asilimia kumi wengine hadi 20%
Nisaidieni katika hilo
Akili za kuambiwa changanya na zako Mbona huo MSEMO ni rahisi sana kuuelewa lakini kwa nini inakua n vigumu sana kuufanyia kaziiii????
Mi najiuliza we unatangaziwa kwamba tunakuja kumchukua Mke wako tumemtafutia mume mwingine wakati huo umeshazaa nae unadhani utakubali tu kirahisi waje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.