Recent content by mwalimumzanlendo

  1. M

    Madam Ritha wa BSS Kufilisiwa

    Inawezekana tangu aanze biashara zake hakuwahi kulipa kodi, serikali ya awamu ya nne bhana duh ilikuwa janga la taifa
  2. M

    Basi la Sharon linalofanya safari za Arusha - Dodoma, limepata ajali Arusha Airport

    Nimekuta ajali ya basi limepinduka maeneo ya Arusha Airport sasa hivi. Sikuweza kupiga picha kwakuwa gari nilliopanda halikusimama. Sijajua ni basi gani na sina details nyingine. Naomba mwenye details atujuze tafadhali.
  3. M

    AJALI: Basi la Arusha Express lagongana na lori; hakuna madhara makubwa

    Ajali hii ilitokea kama mita 200 toka eneo la Police Check point pale Arusha Airport au Canada. Yani nadhani dereva wa basi ndo alikuwa ameachiwa tu na polisi na papo hapo akaovertake na kukutana na lori. Arusha express ni kati ya mabasi yanayokimbia sana njia hii, lkn baya zaidi ni kwamba...
  4. M

    Majibu ya Serikali (Wizara ya Nishati na Madini) kuhusu ripoti ya PAC juu ya Tegeta Escrow Account

    Mimi naona chenga chenga tu! Inavyoonekana, Escrow ni mtaji wa kisiasa kwa wanasiasa flani. All in all, bill 306 is too much to kuvumilika. Wananchi tuingie mabarabarani tuandamane kama Burkinafaso JK ang'oke coz ameshindwa kuiongoza nchi hii. Yeye Jk alihusika kuiingiza TANESCO kt mikataba hii...
Back
Top Bottom