Recent content by mwalimu98

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia Suluhu kwa Taifa Desemba 8, 2021 kuelekea miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika

    Ndo maana nmekuambia una mawazo finyu kama huwezi tofautisha serikali ya ccm 1961 na 2005 dunia inaweza ikakushangaa,,halafu n vema ukaongea mambo ambayo n currently tupo 2021 kwa sasa ko ukihitaji tujadili Yale ya 1961 na 2021
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia Suluhu kwa Taifa Desemba 8, 2021 kuelekea miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika

    Siku mpinzani akikusifia kwa ulichokisema au kuandika think twice!___kama hujaelewa kaa pembeni waachie waelewa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia Suluhu kwa Taifa Desemba 8, 2021 kuelekea miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika

    Hakuna haja ya kuongelea mambo hayo ambyo serikali yake ya hawamu ya 6 haijayafanya,labda ambacho angekiongea kuhusiana na hayo mambo ni jinsi gani serikali yake itapambana na ufisadi ili Mambo kama escrow, Richmond nk yasijitokezee lakn pia ile comparison ya maendeleo toka 1961 hadi 2020 alokua...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Napingana na wanaosema Afya ya Rais si siri

    Unaandika maelezo mengi afu utumbo tu __ ukisema Hakuna sehemu iliyo andkwa kua rais ajitokeze Mara ngapi ndivo pia Hakuna sehemu iliyoandikwa kua watu wasihoji kuhusu afya ya rais ,,Kuna Mambo mengine sio lazma yaandikwe ktk Katiba mengine n kawaida yetu tu __ rais n kiongozi wa shughul za kila...
  5. M

    JamiiForums Tanzania PICHA: Makamu wa Rais hupokea heshima ya kiitifaki wapi?

    Makamu wa rais kwa mujibu wa katib a ya Tanzania ataapishwa kua rais pale tu rais atakapo fariki au kuthibitishwa kua hawezi kuendelea na kazi Yake ya urais kutokana na maradhi au ugonjwa wa akili na Mara baada ya makamu wa rais kuapishwa atateua jina ambalo litachukua nafasi ya umakamu wa rais...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua: Gharama za convoy ikipiga kambi Chato nani analipa?

    Ni sawa lakini haimaanishi kwa kua alibana matumizi kwa kuzuia misafara ya nje Basi ndo afanye matumizi makubwa kwa misafara ya ndani halafu kwa eneo moja tu chato eti kwa reason ya kusema hajawahi toka nje ndo iwe halali ya yeye kutumia gharama kubwa uko kwao no,,point ibaki ileile Kama alitaka...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Utofauti wa mishahara katika Utumishi wa umma, kunavunja moyo na kusababisha watu kubeza kusoma sana

    Ukiongeza maarifa unaongeza ufanisi wa ufanyaji kazi katika sekta yako mfano,, Kuna daktari amesoma miaka 5 degree lakini Kuna daktari bingwa mwenye super specialization, huyu kaongeza elimu yake Ina maana ana uwezo wa kufanya Mambo mengi kuliko uyo wa degree hapa maarifa yake lazima yambebe ATA...
Back
Top Bottom