serikali kushindwa kuwapangia vituo vya kazi waalimu walio hitimu vyuo vya ualimu tangia mwaka jana hadi leo inatuelewesha nini kuhusu inavyo jali na kudhamini elimu ya watu wetu?
Ni kwel kwamba kama mtoto anaweza kuhtimu Darasa la saba na kuingia sekondar akiwa hajui kusoma wala kuandika, mfumo wa elimu unahtaji tathimimi kubwa. Kikubwa ninacho kiona tofauti na maslah Dun ya waalimu, nchi haina Dira! Hatuna farsafa kama taifa. Hatuna itikadi ya nchi. Miaka hyo 51...
Najua kwa kutokana na maswahibu waliyo wasababishia wanajiamin kabisa kuwa hakuna atakae jitokeza tena kuwawajibisha. Muhimu ni kuwa mtu wa kweli na kulenga uwajibikaj kuliko unafuu. 'Bora kufa ukiwa umesimama kuliko kuish ukiwa umepiga magoti' katu msinyamaze!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.