Recent content by Mwalimu Demitria Gibure

  1. Mwalimu Demitria Gibure

    JamiiForums Tanzania Sababu baadhi ya Walimu kupoteza Mvuto kwenye jamii

    Natafakari sana cha kuandika. Nitarudi
  2. Mwalimu Demitria Gibure

    JamiiForums Tanzania Soma hapa kabla ya kuchapisha andiko lako katika Jukwaa la Stories of Change

    Ni kukabidhi ama kutangaza? Wanakabidhi kabla ya kutangaza?
  3. Mwalimu Demitria Gibure

    JamiiForums Tanzania Kwa wadada zangu ambao waume zenu wakimya/wapole msiwafanye na kuwaona wajinga

    Hakika, kila jambo inabidi like Kwa kiasi kisicholeta Madhara kwa upande wowote ule
  4. Mwalimu Demitria Gibure

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa mitihani ya bodi ya NBAA(CPA) lengo lake ni nini? Watu wanafeli mnoo

    Ninavyofahamu lengo la mitihani ni kupima kiwango cha maarifa aliyoyapata mwanafunzi katika kozi fulani na mara zote mitihani inatakiwa isitoke nje ya alichofundishwa mwanafunzi. Labda watungaji wa hiyo mitihani watusaidie kidogo hapa
  5. Mwalimu Demitria Gibure

    JamiiForums Tanzania DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Naamini kuna tafiti zinazofanywa na wataalamu mbalimbali ndani na nje ya idara juu ya vyanzo vya maji, upatikanaji wake, kiasi na kiwango cha huduma husika kulingana na idadi ya watumiaji wa maji hayo n.k utafiti huu uwe unawekwa wazi ili wateja waweze kujiandaa endapo litatokea tatizo la uhaba...
  6. Mwalimu Demitria Gibure

    JamiiForums Tanzania Ubungo waandamana ofisini kwa DC kudai Maji

    Kuna namna mamlaka husika inatakiwa kufanya utafiti juu ya chanzo cha huu ukame na kuleta suluhisho la kudumu ikibidi Elimu maalumu itolewe kwa wakazi wanaoishi karibu ama kuzunguka vyanzo vya maji pia naamini kuna namna tutapata suluhu.
  7. Mwalimu Demitria Gibure

    JamiiForums Tanzania Ni ushamba sana kutoka na kitambulisho cha kazini hadi mtaani ukiwa umekivaa

    Hahahahaha hapo inategemea pia na shule uliyoajiriwa🤣🖐
  8. Mwalimu Demitria Gibure

    JamiiForums Tanzania Thamani ya mtu huonekana pindi anapotoka katika mzunguko wako wa maisha

    Najaribu tu kutafuta namna tunavyoweza kurejesha yale mazuri yaliyotoweka ndugu yangu kwa kudhani tukibadilika sisi basi tunaweza kubadili vizazi vyetu pia. Tujaribu rafiki yangu
  9. Mwalimu Demitria Gibure

    JamiiForums Tanzania Thamani ya mtu huonekana pindi anapotoka katika mzunguko wako wa maisha

    Naamini ule msemo mazoea hujenga tabia, Tuanze na kuwazoesha watoto wanaotuzunguka uthamani wa mtu pasi kuangalia mali
  10. Mwalimu Demitria Gibure

    JamiiForums Tanzania Thamani ya mtu huonekana pindi anapotoka katika mzunguko wako wa maisha

    Tunaweza kuanza kubadili fikra za vizazi vijavyo kwa matendo yetu ili tuirejeshe hiyo enzi
  11. Mwalimu Demitria Gibure

    JamiiForums Tanzania Thamani ya mtu huonekana pindi anapotoka katika mzunguko wako wa maisha

    Pesa inanunua huo uthamani ambao pesa hizo zikitoweka na uthamani hutoweka pia. Tuirejee asili ya ule Upendo wa miaka hiyo ambayo thamani ya mtu ni UTU.
  12. Mwalimu Demitria Gibure

    JamiiForums Tanzania Thamani ya mtu huonekana pindi anapotoka katika mzunguko wako wa maisha

    Nakubali kwa fikra hii ila wa kuirejesha thamani iliyoibwa na vitu/pesa ni mimi na wewe haswaaa kwa kurithisha fikra chanya kwa vizazi vyetu
  13. Mwalimu Demitria Gibure

    JamiiForums Tanzania Thamani ya mtu huonekana pindi anapotoka katika mzunguko wako wa maisha

    Kuna namna nyingi binadamu wa sasa tunazitumia kuonesha thamani ya mtu. Wengine tunamthamini mtu pindi tu tunapokuwa na uhitaji yaaani anakuwa na thamani pindi anaponipa huduma fulani ila ikiisha tu na thamani yake pia inapungua, inaisha ama inapotea kabisa. Kuna Wengine tunawathamini kwa...
  14. Mwalimu Demitria Gibure

    JamiiForums Tanzania Count down to Kariakoo Derby 23/10/2020

    Yanga tupo imara
  15. Mwalimu Demitria Gibure

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tuurejeshe upendo uliopoa

    UPENDO ULIOPOA Kuna aina nyingi za upendo ambazo binadamu tunajihusisha nao. Kwa sasa upendo ninaoutamani urejee ni ule upendo usio na sababu,upendo unaojali na kuthamini mazingira yote. Upendo unaothamini na kurejesha ubinadamu. Tujaribu kurejea maisha ya zamani yale ya mtoto wamjomba...
Back
Top Bottom