Recent content by Mwalimu Bora

  1. M

    Dr Walid Amani Kabourou yuko wapi?

    Dr. Amani warid k. Alidhani siasa ina maslahi siasa ni wokovu wa kufa msalabani ili watu wanaokuamini waokoke mwanzoni ndivyo alivyofanya. Aliwaamsha wanakigoma walioitwa wakimbizi wakati huo na hata viongozi wa serikali (baadhi). Ila kutema kwake big g kwa karanga za kuonjeshwa ni pimbi...
  2. M

    Bajeti 2012/13: Serikali kuuza mashangingi yake kupunguza gharama...

    Walimu tutakufa! Madeni yetu hata kuguswa! Elimu ya juu na mikopo vipi? Jamani tujipange hata tuandamane! Reli kwa nini isiuzwe? Kuna siri gani hapa! Mahali pengine reli za mwendo kasi sisi ni nkachu x6 hadi kigoma masaa 9o toka dar
  3. M

    Lema amjibu Kikwete, asema yupo tayari kwa lolote kuanzia sasa

    Sisi walimu tunapata faraja kuwa na wahitimu bora wanaotuelewa darasani kama godbless lema.
Back
Top Bottom