Recent content by Mwalaye

  1. M

    JamiiForums Tanzania Updates: Baada ya kupima Afya ya akili na mchumba wangu, baba mkwe anikabidhi milioni tano ya matibabu

    Halafu anavizia unakoroma unalambwa uji wa moto wa usoni, paap! Heeey! Jehanaaam!!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tabora: Amuua mke wake kwa kisu kisha ajiua kwa kunywa sumu. Aacha Ujumbe

    Kama unaabudu, hizo ndizo dalili za kiama! Wakristo walinisomea andiko lao siku moja nilishangaa sana. Kama na wewe ni mtafiti, tafuta "Biblia" nenda " 2Timotheo 3:1-5" Utaamini!
  3. M

    JamiiForums Tanzania RPC Arusha: Tutawatafuta Watu waliomuua askari wetu Usiku na Mchana hadi tuwatie mbaroni

    Ndiyo maana wanatafutwa kwa udi na uvumba Ili wasituvurugie hiyo amani yetu. Ili kimeta kisienee unachoma moto mizoga! Sasa watahama kwa hiari bila shuruti!!
  4. M

    JamiiForums Tanzania RPC Arusha: Tutawatafuta Watu waliomuua askari wetu Usiku na Mchana hadi tuwatie mbaroni

    Ndiyo maana wanatafutwa kwa udi na uvumba Ili wasituvurugie hiyo amani yetu. Ili kimeta kisienee unachoma moto mizoga!!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Harusi ya Jackie Bouvier na John Kennedy 1953

    Ndoa zililkuwa zamani, siku hizi magumashi! Ukileta zengwe, risasi saba! Nasikia ugonjwa umehamia kwa Wachina, kule Ilala!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Dar: Jamaa adaiwa kumuua mpenzi wake kisha naye kujiua kwa kunywa sumu, vidonge na pombe

    Umemnunulia smartphone, wewe kitochi. Kesho yuko na Bwashee, ukiuliza, majibu: "Tena nakwambia unikome, mwanaume gani wewe? Suruali tu! koma!"
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nimesahau mzigo ndani ya basi

    Computer/laptop, simu, vitambulisho, kadi za Benki, nk, Unakuwanavyo bega kwa bega, i.e, ukikaa viko mapajani, ukiamka viko begani(bila shaka ndani ya begi). Kamwe usiweke hata ndani ya sanduku. Kama kupotea viwe detached forcebly from your body(unyang'anywe kwa nguvu)
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rekodi nyingine bandari ya Mtwara: Meli kubwa kutoka Uholanzi yatia nanga tayari kusafirishia shehena ya Makaa ya Mawe

    Naona mwanzisha uzi yuko majichumvi, Ni vizuri bana, tuepuke wawekezaji! Lakini mchakato umeishaanza, lengo ni ku- overtake Mombasa. "Kazi iendelee"
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Jiepushe na utapeli wa huu ujumbe

    Kuna message isiyofahamika inazunguka mitandaoni. Inasomeka: "SELCOM OTP 94DDF O331LO Imethibitishwa umepokea zawadi Tsh 6,000,000.00/= Kutokana na TUZO P'OINT zako. V@t 18% . Piga simu no 0659365488 uweze kupokea bonus hiyo.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kilichomtoa Dkt. Msonde NECTA ni Kufaulisha sana bila mpangilio, Rais agusia leo, matokeo ya mwaka huu tutegemee heshima NECTA

    Ndiyo maana zamani kupata div one, ilikuwa uhalisia hasa! Div one, two, na three, their positions refrected the actual IQs they had!! Hata sehemu walizokuwa wanapangiwa accordingly, walizimudu vilivyo! Sio leo, mbulula tupu!!!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Basi la Super Feo Songea-Dar via Lindi limepata ajali. Dereva mwanamke avunjika mkono

    Kuna mambo mengine lazima tukubaliane na uumbaji. Tusilazimishe! Mfano: Askari mpambanaji wa msituni Comandoo wa migodini Long root safaris (semitrailers, mabasi, matreni, ndege, nk) Usually women are weaker!! Let us accept the reality! Remember:"Adam akapewa usingizi mzito, ubavu wake mmoja...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kufungisha ndoa takatifu huku Bibi Harusi akiwa mjamzito ni kuhalalisha uzinzi

    Moravian inaonekana Wana maadili safi sana! Kuna dogo mmoja anatafuta mchumba! Ngoja nimuhangaikie huko! Hasa wale wanakwaya, maana wanapendeza sana!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mmiliki wa Madrasa adaiwa kulawiti wanafunzi 22

    Unatuambia kitu gani bana? Angalia kiini cha yeye kuaminiwa na kukabidhiwa watoto!! Pointi yako iwe: "uhalifu hauangalii dini". Hata Vatican watu waliswekwa ndani.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Bar ya Picnic Arusha Kuna wizi kuanzia wahudumu, Wateja Wanawake mpaka Bodaboda Wanaopaki nje

    Umenikumbusha bana!! Miaka ya 2016/17, huku Kigoma wavuvi kwa Imani zao potofu wakaambiana kwamba kuvua kwa bulb inalipa kwelikweli kuliko karabai! Ee bwana ee!! acha tuibiwe betri zetu za gari bana, ilikuwa balaa! Staili waliyokuwa wanatumia ni kuvunja vioo vile vidogo bana! Biashara zingine...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Jolie Detta: Mwanamuziki wa Kwanza wa kike kuimba bendi ya TP Okk Jazz

    Jamani bado sajaupata! "Nikauliza Mugo iko nini ee! iko nini ee! iko nasikia?" Mugo akanijibu hivi ni maradhi yaalombee Magiee!! Mugo simama turudi nyumbani kwetu nyumbani wanguu!! Unihurumie sababu yake ilipita zamani tutunze batoto betu papaa!!
Back
Top Bottom