hapo ni mabadiliko ktk wizara husika kwani bila hivyo bado kutakuwa na matatizo...
...mf,.kuwaboreshea mazingira waalimu ili kazi hii isionekane ni dhaifu na viwekwe viwango maalumu vya ufaulu wa waalimu nadhan itasaidia(kutafuta waalimu bora)
Inachoshangaza ni mitazamo finyu miongoni mwa wanafunzi wengi ambao wengi hawana mtazamo wa kujiajili.
....hii hutokana kwamba sera za nchi kuhusu elimu na utekelezaji wake haumpi mwanafunzi fikra za kujiajili
..(1)serikali haizingatii ubora wa waalimu nchini...kwani ualimu umewekwa ktk viwango...
Watu sasa imekuwa shida..dah!,,maana maamuzi ambayo wanachukua..
..siyo kabisa(maombi yangu ni kuwataka kuwa wavumilivu ktk kipind hiki kigumu wakati mnasubiri mtazamo na hatua zingine ili kusonga mbele)
....kweli yavunja moyo lkn usijaribu kupaniki kwani unaweza kujikuta unafanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.