mwakuna
Member
- Sep 19, 2012
- 6
- 1
Inachoshangaza ni mitazamo finyu miongoni mwa wanafunzi wengi ambao wengi hawana mtazamo wa kujiajili.
....hii hutokana kwamba sera za nchi kuhusu elimu na utekelezaji wake haumpi mwanafunzi fikra za kujiajili
..(1)serikali haizingatii ubora wa waalimu nchini...kwani ualimu umewekwa ktk viwango vya chini kimaslahi na kiufaulu
..hivyo watu weng wanajikuta wakikimbilia hii husababisha kuchangayikana kwa waalimu wa aina mbili';
..(a)waalimu ambao wanawito na wako tayari kuwasaidia wanafunzi kwa hali na mali na siyo masilahi
....(b)waalimu ambao hawakuwa na malengo na kazi hii;sasa kutokana na ugumu wa maisha wameamua kuwa waalimu
...sasa madhara ni kwa wanafunz kwan kinacho fuata hapo ni kuwafundisha wanafunzi namna ya kufaulu mitihani tu..
shida ni baada ya kuhitimu masomo ambapo wengi hukaa bila kuutumia ujuzi wao hivyo nchi kuzidi kuwa masikini
MATOKEO YAKE NI;
1...Wataalamu wengi kuingia ktk makundi mabaya ktk jamii
2..kushuka kwa kiwango cha elimu nchini
3.shule za kata kudolola..(kupotezea muda wanafunzi)..wengi kufeli mitihan kutokana na bora elimu