Recent content by MWAKITWINO

  1. MWAKITWINO

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanyama wahamishiwa hifadhi ya Burigi

    Lissu Alisema lakini
  2. MWAKITWINO

    JamiiForums Tanzania Mawazo Huru: Inawezekana ripoti hii ya cag ikawa kitu muhimu sana kuwafumbua watu macho na masikio

    Wote tunajua ripoti iliyo pita ilikuja na ufisadi wa 1.5trilion na Leo nyingine hii inafanyiwa mizengwe kiasi hiki kunani!!! Nimekuwa nikijiuliza Tatizo ni nini?? -Je nikauli ile binafsi tu ya Bwana Assad ndio tatizo la yote haya? -Na je Mbona kwa mara ya kwanza katika historia Raisi kapokea...
  3. MWAKITWINO

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Tamko la jana la Serikali ya Tanzania na Barrick Gold lililenga kupoza bei ya Dola, lakini soko limegoma...

    Acha ushabiki wa kitoto Sent using Jamii Forums mobile app
  4. MWAKITWINO

    JamiiForums Tanzania Miili ya wanajeshi 14 waliouawa DRC yawasili katika uwanja wa ndege wa jeshi, kuagwa Lugalo Alhamis Desemba 14

    Sijui safari hii mkuu atahudhuria mazishi? Nawaza tu kwasauti!!!
  5. MWAKITWINO

    JamiiForums Tanzania Tamko la CHADEMA kuhusu kauli ya Raisi Magufuli ya kutowarudisha shule wanafunzi waliobeba ujauzito

    Wewe inakuuma nini hasa kwani dada yako akisoma unaumia nini wewe!!!! Hivi ni kweli akili hiyo ni yako?
  6. MWAKITWINO

    JamiiForums Tanzania Bila upinzani madhubuti, Kagame ataendelea kutuchezea EALA

    Bora wewe umesema mkuu
  7. MWAKITWINO

    JamiiForums Tanzania Bila upinzani madhubuti, Kagame ataendelea kutuchezea EALA

    Kwa wajuzi wa mambo wanaelewa ni jinsi gani bunge la afrika mashariki linavyo tawaliwa na Rwanda. Na wote pia tunajua jinsi Kagame alivyo mshika pabaya mkuu wetu kiasi cha kuto sikiliza lolote kinyume na matakwa ya huyo jamaa. Kinacho uma kuliko vyote ni pale mkuu wetu alivyo tayari kufanya...
  8. MWAKITWINO

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rwanda nyuma ya kufukuzwa Shyrose!

    Hivi nyinyi CCM mna akili gani yaani hapo hamuoni mantic kweli Hebu someni tena anachoeleza mwandishi ni kwamba Tunapokea maelekezo toka Rwanda hilo halikuumi???? Kinacho kuuma wewe ni Ubunge wake tu! Shame on you CCM
  9. MWAKITWINO

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Nyini sijui mmetumwa??? Maana duh!
  10. MWAKITWINO

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli tumtetee kwenye mitandao na popote, tusikubali adhalilishwe kila uchao

    Mi nashauli hakuna wakati tunatakiwa kuungana kumpinga mtu huyu kama sasa tukakosea tu akafanikiwa anachotaka tumekwisha Mdharau mwiba mguu huota tende
  11. MWAKITWINO

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar, Dr. Shein: Mkitaka kuzima umeme zimeni, tutawasha vibatari

    Zanzibar wanauziwa umeme kwa bei kubwa sana wataalamu wanasema kwa bei ya rejareja
Back
Top Bottom