Recent content by MWAKITEGA ALIKO

  1. M

    Nishaurini Ndugu zangu juu ya huyu mwanamke

    Jichukulie kabinti ka std 7 weka ndani hao wa masters lazima wapasue kichwa cha mtu.
  2. M

    Hatimaye nimempata!

    Mbombo true true!!
  3. M

    Mimba ni biashara kubwa mjini

    Nimerudia kusoma mara tatu lakini nimetoka patupu!! Ngoja nisome comments za wadau tu.
  4. M

    Upi umri sahihi wa kuzidiana kati ya mume na mke?

    Taja umri wako kwanza ndo tukushauri!! Kwani range ya umri inategemeana sana na mwanaume anaoa akiwa na umri gani!!? Mfano mwanaume akiwa anaumri wa 23yrs, akisema aoe binti alomzidi 10yrs atakua ameoa binti mwenye 13 yrs lakini mwanaume mwenye miaka 38 akisema anaoa binti alomzidi 10yrs ataoa...
  5. M

    Kama wewe sio Muha wa Kigoma, basi usithubutu kuoa mwanamke Muha

    Mimi sio muha na sijaoa muha ila ninafanya kazi kigoma! Hayo ulioyasema yanaweza kuwa kweli au sio kweli! Kimsingi mkoa wa kigoma unawaha wa aina tatu ambao ni- 1. Waha wa kasulu kuelekea hadi business =wanyahelu Sifa zao Wana jiamini sana, hawapendi kupelekeshwa kabisa. Niwaongeaji sana...
  6. M

    Je, umewahi kufikisha goli 5 na kuendelea?

    Tunaopiga goli moja dakika 45, na tukimaliza mwanamke hana hamu tena ya kuendelea na show tunacomment wapi!!?
  7. M

    Wanaume oeni yatima, hamtojutia

    Naboresha kidogo!! Yatima ni lazima awe ni mtoto mwenye umri chini ya 18yrs Amefiwa na mzazi mmoja au wote wawili. Akiwa 18yrs and above huyo sio yatima labda aitwe mkiwa.
  8. M

    Kwa sababu hizi, siwezi kuoa mke hohehahe

    Tafuta hela! Hata hawa warembo wa kitajiri au kutoka Royal familieshawawezi kukubali kuolewa na mwanaume kapuku so tafuta indalama kwanza ili mwende sawa.
  9. M

    Kutoka na mwanamke mwenye kiu ya kuolewa ni balaa zito

    Kama uliniona!! Kuna binti mmoja wa kihaya alikuwa ananinyima mbususu sana kwa visingizio vya kutomujibiwa maswali yake, kama lini utakuja kwetu?, lini utaniunganisha na ndugu zako tufahamiane!? Kalikuwa kananiboa na maswali yake hadi kero!?
  10. M

    Huyu dada anayejiuza barabarani nilimwonea huruma sana

    Big failure! inabidi aende akamnunue tena then amhoji kisa na mkasa, baada ya hapo elete mrejesho.
  11. M

    Namuacha kwa sababu ana matumizi makubwa ya pesa

    Haina haja ya kuwaza mkuu piga chin chap akale jeuli yake huko kwao sigimbi.
  12. M

    Namuacha kwa sababu ana matumizi makubwa ya pesa

    Piga chini haraka sana hiyo parasite!.
  13. M

    Wanaume kwa wanawake njoeni tusaidiane hapa

    We mpotezee usimtafute, akutafute yeye tu na akikupigia au kukutext jibu maswali yake tu kwa ufupi usiongeze neo, mfano Dem: mambo Wewe; poa Dem: Uko wapi Wewe: home Dem: mbona kimya siku hizi Wewe: Nipo tu Atanyooka tu kama vipi asepe na akikomaa muonane mpe location wewe akikataa kuja...
Back
Top Bottom