Recent content by mwakirobert1

  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Balozi wa Marekani nchini Tanzania: Serikali ihakikishe usalama wa Viongozi wa Upinzani, iwaachie waliokamatwa na kurejesha mawasiliano kwa wananchi

    1. Wapinzani wanauwa watu kuwa kigezo cha kuona wanafichuliwa mambo yao na wakati mwingine hata kuwafukuza watu uwanachama.🚮 2. Wanauwezo wa kuchoma ofisi zao na hata kujiteka kisha wasingizie serikali🚮🚮 3. Wameprint katatasi za kura kisha wanaongopa wamekamata na ushahidi wamechoma 🚮 toka link...
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kamanda Mambosasa: Mbowe na wenzake kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi, walipanga kulipua vituo vya mafuta

    Kwaiyo ulitaka wafanye makosa kisha waachiwe? Hakuna kitu kama hicho wataendelea kuwajibika Kwa makosa yao Hata hivyo wamezoea kutoka toka nje sasa tumewatoa kabisa bungeni .
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Balozi wa Marekani nchini Tanzania: Serikali ihakikishe usalama wa Viongozi wa Upinzani, iwaachie waliokamatwa na kurejesha mawasiliano kwa wananchi

    Hatuwezi achilia watu wanaotaka kuharibu amani yetu kisa kauli ya balozi. Inabidi tu wakubali kuwa tayari wameng'olewa kwenye viti vyao Na kama walivyokjwa walitoka nje bungeni sasa wapo uraiani hatuhitaji tena drama zao acha wapate wanachostahili.
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Balozi wa Marekani nchini Tanzania: Serikali ihakikishe usalama wa Viongozi wa Upinzani, iwaachie waliokamatwa na kurejesha mawasiliano kwa wananchi

    Hatuwezi achilia watu wanaotaka kuharibu amani yetu kisa kauli ya balozi. Inabidi tu wakubali kuwa tayari wameng'olewa kwenye viti vyao Na kama walivyokjwa walitoka nje bungeni sasa wapo uraiani hatuhitaji tena drama zao.
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Balozi wa Marekani nchini Tanzania: Serikali ihakikishe usalama wa Viongozi wa Upinzani, iwaachie waliokamatwa na kurejesha mawasiliano kwa wananchi

    Yani wew unafahami kabisa tatizo lilipo ila bado unajitahidi kufumbia macho Tatizo wapinzani wa nchii wamewekeza kwenye chuki kuliko kuuza Sera za vyama vyao.
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Balozi wa Marekani nchini Tanzania: Serikali ihakikishe usalama wa Viongozi wa Upinzani, iwaachie waliokamatwa na kurejesha mawasiliano kwa wananchi

    😂😂😂..nyie wenye lolote mmeishia wapi? Mnataka kushindana na maamuzi ya wananchi ambao walishachaga toka tarehe 28.
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Balozi wa Marekani nchini Tanzania: Serikali ihakikishe usalama wa Viongozi wa Upinzani, iwaachie waliokamatwa na kurejesha mawasiliano kwa wananchi

    Hayo ni mawazo yako wewe pamoja na vijana wenzio wa Kwa ufipa mana ndivyo mlivyomezeshwa.
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Balozi wa Marekani nchini Tanzania: Serikali ihakikishe usalama wa Viongozi wa Upinzani, iwaachie waliokamatwa na kurejesha mawasiliano kwa wananchi

    Serikali inafahamu inachofanya hivyo asijaribu kuingilia maamuzi yetu kama ambavyo hatuingilii maamuzi yao
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Balozi wa Marekani nchini Tanzania: Serikali ihakikishe usalama wa Viongozi wa Upinzani, iwaachie waliokamatwa na kurejesha mawasiliano kwa wananchi

    Kwa janga lipi hasa mnalotaka msaada? Mlitaka hao wanaotaka kuharibu amani waachiwe?
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kamanda Mambosasa: Mbowe na wenzake kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi, walipanga kulipua vituo vya mafuta

    Waendee kwenye majimbo yao wakaone walipokosea waache kuja kutusumbua huku kama ndio tulipo wachagua
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kamanda Mambosasa: Mbowe na wenzake kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi, walipanga kulipua vituo vya mafuta

    Hao ✌wanafanya haya yote Kwa maslahi yao wenyewe na hasa ni kwakuwa wamekosa ubunge mana kama wangepata wasinge Fanya yote haya.
  12. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kamanda Mambosasa: Mbowe na wenzake kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi, walipanga kulipua vituo vya mafuta

    Ni wapuuzi pekee watakaoenda kuandamana na kutetea ugali wa MTU ambae hata akiwa hospital hata kuwa msaada.
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kamanda Mambosasa: Mbowe na wenzake kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi, walipanga kulipua vituo vya mafuta

    How sure are you kwamba hizo kesi wamwbambikiziwa ?
  14. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kamanda Mambosasa: Mbowe na wenzake kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi, walipanga kulipua vituo vya mafuta

    Ni huruma kuwa Na kijana kama wew halafubkichwa chako kimejaapumba na upuuzi mtupu .🚮🚮🚮
Back
Top Bottom