Recent content by mwakipembe

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mahakama imemuachia huru Gerald Mwakitalu (CHADEMA). Alifungwa maisha

    Mungu hamtupi mja wake
  2. M

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Clouds tv imeondolewa kwenye Dish
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wazo Korofishi: Magufuli Amuondoe Makonda Aende akawe Mwinjilisti!

    Ila wewe ndie umechanganyikiwa, barakashia na tandio za wamama zinavaliwa popote pale tumewai kuhoji? Wewe angalia utendaji wa mtu.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu asimamishiwa mshahara na marupurupu yake

    Kama hawajui alipo, basi avuliwe ubunge si vikao vitatu vimepita na kuzidi bila kuwepo bungeni. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kukutana na Papa Francis, Vatican

    Kukutana na Papa si mchezo, kama ni kweli lisu hana mfano. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ndani ya BBC HARDtalk

    Hakika mungu hamtupi mja wake. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tukio la kutekwa MO DEWJI na madhara yake katika uwekezaji Tanzania

    MO Atapatikana tu! Jeshi letu halijalala, na hao watekaji watakamatwa tu!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

    Mungu azilaze pema roho za marehemu Amina.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Makontena ya Makonda: Rais Magufuli amshukia kama Mwewe, amtaka alipe kodi

    Rais wetu ni mtetea nchi pia hana upendeleo.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Serikali: Kila mtanzania atapaswa kumiliki laini moja ya simu, ukitaka ya pili unaomba TCRA

    Mh, hivi hii habari ni kweli?
Back
Top Bottom