Kama kuna uwezekano wa mtoto wako kwenda kusoma kwenye nchi zinazotumia kiingereza ama kifaransa mpeleke. Kiswahili ni lugha ya kufukuzia mashetani na sio zaidi ya hapo.
Kwa huu uchaguzi ambao ccm ndio refa, mshika kibendera, kamisaa na body ya michezo, inatakiwa kuwa mwendawazimu kuamini mazingira hayo kuna uchaguzi wa kweli.
Huwa nacheka sana hiyo lugha ya kuwa nililazimishwa lakini sikuwa nataka, halafu unashangaa aliyekuwa hataki hayo madaraka anageuka kuwa mtekaji na muuaji, huku akipora chaguzi ili aendelee kukaa madarakani!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.