Recent content by Mwaki01

  1. M

    JamiiForums Tanzania Muslim University of Moro: Centre of Excellence!

    Habari zenu, naona watu wanahusisha uislam na ugaidi Mtu ajifunze nini maana ya uislam nini maana ya ugaidi, kisha ajifunze yale yaliyo ya kiislam na yale yaliyo ya kigaidi, baada ya hapo aje na hoja yakuhusisha ugaidi na uislam Pia usilam siyo uarabu ila uislam umeshuka kwa jamii ya waarabu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu zimepotelea wapi?

    Ikifika tarehe 20 kama hamna pdf sidhani kama kama watatoa tena labda mpaka mwakani miezi ya mwanzo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Utumishi watapangia walimu vituo kwa kuchagua wenye GPA kubwa?

    Hivi majibu rasmi ya ajira za ualimu watazitoa lini
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wazazi tunapitia magumu mno katika malezi, watoto wana mbinu ovu

    Kama tunachukizwa na kuumizwa na haya tuungane kwapamoja kulaani na kukataa kwa pamoja tuwe na kauli moja juu ya malezi ya jamii
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

    Kiuhalisia na ndiyo ukweli usiopingika jamii ya sasa tumekosa elimu ya FAMILIA NA MALEZI kiujumla tumeshindwa kuendana na kasi ya mabadiliko ya kidunia malezi ya mtoto wa miaka 2 siyo malezi ya mtoto wa miaka 4 Kama Mr Masha Jr alivyosema malezi ya mtoto huanza tangu tumboni na elimu ni jambo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wazazi tunapitia magumu mno katika malezi, watoto wana mbinu ovu

    Kulingana na maisha ya sasa baba na mama wote ni watafutaji muda wa kuwa na watoto haupo mabint wa kazi kadhalka ni mtihani Na tukipewa mashtaka ya wanetu tunaona wanasemwa vibaya bila kuchunguza mtoto anaona wazazi wapo upande wangu majirani wataacha kukuambia hata wakimuona anafanya mambo ya...
Back
Top Bottom