Recent content by Mwakasimba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mafuta ya alizeti asilia kwa kupikia

    wadau nauza mafuta ya alizeti na utaletewa hapo ulipo kwa wateja wa dar, napokea pia order kwa wanaohitaji! dumu 1 lita 5 ni 18000/= price including transport! asanteni
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naweza kujenga nyumba kwa TZS Milioni 20?

    ndugu ujenzi sio mchezo na kuchakata kama ulivyofanya vitu ving umeacha kuna misumar, maji, kokoto, nondo, mbao za linta hata kama una kodisha, kench wire, hiyo nyumba haina choo? xo kuna mambo mengi sana ikiwemo gharama ya usafiri wa vifaa, kifupi unaweza kujenga nyumba ndogo sana labda...
  3. M

    JamiiForums Tanzania St Raphael Training Center

    asante mdau
  4. M

    JamiiForums Tanzania St Raphael Training Center

    hahaha poa si unajua ni heri kujiami kuliko kupoteza pesa na muda, hasa kikubwa muda!
  5. M

    JamiiForums Tanzania St Raphael Training Center

    wadau naomba kuulizia mtu mwenye kujua kama chuo hiki kimesajiliwa ama laa maana nahitaji kusoma pale isije ikawa nitapoteza muda!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mafuta ya Alizeti

    wana jamii ukweli ni kwamba yapo mafuta mengi na bei zinatofautiana na sikatai kwamba yapo ya bei ya chini kabisa hata zaidi ya hapo, lakini katika kila biashara kuna ujanja wake sasa sijui hao wenzangu wanayatoa wapi na gharama zake zikawa hivyo pia quality yake sijui ipoje, maoni yenu ni...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mafuta ya Alizeti

    ni kweli ndugu inaweza ikawa juu lakin inategemea huyo anayekuuzia 16000/= anayapata wapi na mzunguko wake upoje ila nashukuru nitajaribu niwezavyo lengo biashara isonge mbele, asante
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mafuta ya Alizeti

    habar ndugu zangu watanzania, mimi ni mjasiliamali mdogo nimemaliza chuo ud nimeona nijiajiri kupitia biashara ya mafuta ya alizeti, kikubwa naomba mniunge mkono lita tano (5) ni Tshs. 18000 tu! unaweza kuagiza kwa tenda na kama upo dar nitakuletea hapo ulipo, nashukuru kwa ushirikiano japo kwa...
Back
Top Bottom