Recent content by Mwakalongo

  1. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kuna nguzo iliyoathirika na mvua hapa mbezi mwisho nyuma ya kwa Mpipi,ni baada tuu ya njia panda ya Maramba Mawili baada tuu ya bump mkabala na kanisa la KKKT.Nambiwa kuna wafanyakazi wa TANESCO waligika lakini hawajaonekana tena,nguzo inadondoka wakati wowote.
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi wa Kenya ni Aibu

    Ndiyo matumizi sahihi ya kodi za wananchi siyo?ni unyama na aibu kubwa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Aliyemwelewa Kipanya Hapa Atie Neno!

    Mtu kujing'oa uchaguzi wazazi ambao ndiyo wanamiliki shule kadhaa
Back
Top Bottom