Mmmh,mi sisemi ,ila nadhani veta wanapokea ushauri,milango iko wazi kwa kila mtu,kupeleka maoni,ushauri,nk ili kuboresha VETA yetu,hayakatazwi maoni,wala ushauri,mi nadhani kwa yeyote mwenye maoni na ushauri wa kuboresha taasisi hii ni vyema akachangia moja kwa moja kwa mkurugenzi mkuu,director...