In kweli maisha ya Siku hizi yamebadilika, chamsingi mwanaume na mwanamke wanapaswa kusaidiana. Kama sivyo hakuna haja yakuwa na house girl hivyo kazi zote zifanywe na wote; mwanaume pika mke angalia watoto na siku nyingine badilishaneni.Hivyo wanaume kama hayo wanayoyataka hawawezi kuwafanyia...
Go Go Go Go Mzee Warioba. Hicho ndicho kinachopaswa kufanyika. CCM wanatudanganya eti Katiba nzuri, imezingatia matakwa ya wananchi, eti waachane na siasa! Hivi kweli! Siasa haiwezi kuepukika. Hii ni kwa sababu bila siasa safi hata hayo matakwa ya wananchi yaliyozingatiwa(kama yapo)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.