Recent content by Mwakaboko King

  1. Mwakaboko King

    JamiiForums Tanzania Tume ya Uchaguzi imevamiwa?

    Inaonekana umeamini hayo maneno ushauri wa Bure ungana na mtoa post muende mahakamani mkafungue kesi otherwise unabakia kuwa umbeya na majungu, Mahakama pekee ndicho chombo kinachoweza kuthibitisha na kumtia mtu hatiani, nenda mahakamani maadam Dkt. Kihamia yupo atafuatwa huko. Please nenda...
  2. Mwakaboko King

    JamiiForums Tanzania Tume ya Uchaguzi imevamiwa?

    Naposoma comment kama hii nasikitika sana!
  3. Mwakaboko King

    JamiiForums Tanzania Tume ya Uchaguzi imevamiwa?

    Tanzania tunahitaji viongozi wenye kufanya maamuzi kwa vitendo sio mbwembwe za majukwaani halafu utekelezaji 0. Miaka ya nyuma Arusha ilikua kama pango la wanyanganyi kila mtu ana ndevu, baba ndevu na watoto ndevu wakati huo umepita, sasa ni wakati wa kujenga nchi kwa kasi na uadilifu.Mtoa post...
  4. Mwakaboko King

    JamiiForums Tanzania Liwale: NEC yawataka wananchi kupiga kura kwa utulivu

    Kwani nani kakuambia tunabishana? issue ni hoja hapa mambo ya kufikirika hayana nafasi dunia ya sasa
  5. Mwakaboko King

    JamiiForums Tanzania Liwale: NEC yawataka wananchi kupiga kura kwa utulivu

    SIO KWELI
  6. Mwakaboko King

    JamiiForums Tanzania Liwale: NEC yawataka wananchi kupiga kura kwa utulivu

    Unashangaa nini wakati umeitwa:oops::oops::oops:
  7. Mwakaboko King

    JamiiForums Tanzania Liwale: NEC yawataka wananchi kupiga kura kwa utulivu

    Mkuu mbona unachanganyikiwa mapema kabla hata ya uchaguzi?
  8. Mwakaboko King

    JamiiForums Tanzania Liwale: NEC yawataka wananchi kupiga kura kwa utulivu

    Mkuu upo ukimbizini nini?
  9. Mwakaboko King

    JamiiForums Tanzania Liwale: NEC yawataka wananchi kupiga kura kwa utulivu

    Usishindane na muda utaumia!! kama unaweza kazuie wabunge wa upinzani kuhama otherwise acha Katiba ifanye kazi yake maana chaguzi ndogo zote huendeshwa kwa mujibu wa sheria.
  10. Mwakaboko King

    JamiiForums Tanzania Liwale: NEC yawataka wananchi kupiga kura kwa utulivu

    Uchaguzi upo kama unabisha nenda Liwale ukashuhudie! kama mmesusa ni nyie ila wenzenu watapiga Kura
  11. Mwakaboko King

    JamiiForums Tanzania Liwale: NEC yawataka wananchi kupiga kura kwa utulivu

    Na watafanya hivyo maana ndio wapiga Kura na ndio wana Liwale wenyewe!!!
  12. Mwakaboko King

    JamiiForums Tanzania Liwale: NEC yawataka wananchi kupiga kura kwa utulivu

    Wananchi ndio waamuzi wa mwisho, kesho watampata kiongozi wao.
  13. Mwakaboko King

    JamiiForums Tanzania Liwale: NEC yawataka wananchi kupiga kura kwa utulivu

    Watu hawawezi kulala vituoni kinyume cha utaratibu, Mtu akimaliza kupiga Kura anaenda kulala kwake!
  14. Mwakaboko King

    JamiiForums Tanzania Liwale: NEC yawataka wananchi kupiga kura kwa utulivu

    Sawa wanaojitambua zaidi yako watapiga Kura tu
Back
Top Bottom