Navy boy jiongeze...
Usijifanye unajua sanaaa wakati level uliyonayo sio kubwa kiivo (kiuelewa wa hali halisi ya huo ushabiki wako).
Humu ndani kuna watu wa aina tofauti sasa usianzishe uchochezi na uzushi wa mambo ambayo ukiambiwa thibitisha utaanza kujikanyaga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.