Watanzania tujipange kuwapima wagombea wetu kwa hoja na tufanye maamuzi ya busara tarehe 28/10/2020 ya kumchagua kiongozi atakae tuletea maendeleo pamoja na kuliweka taifa letu katika hali ya amani na utulivu wakati wote.Hakuna kiongozi kutoka nje ya tanzania atakae tuongozea nchi yetu.Tuwe...
Kwa hakika kila jambo na wakati wake ule wakati ambao watanzania waliusubiri ili waweze kufanya maamuzi yao ya kuwachagua viongozi wenye hoja madhubuti na kuwaacha vibaraka na wasaliti wa nchi ndio huu sasa.Hivi tunawezaje kumchagua mtu ambae ana hubiri uvunjifu wa amani kwa taifa letu ana...
CHADEMA wamepoteza hamasa katika mikutano yao, wamepoteza mvuto kwa wananchi, wamekosa ajenda na hawana sera. Sio coverage ya TBC, ITV, Clouds TV ama media yeyote ile inaweza kuwasaidia kwasasa. Narudia tena kuwa Kampeni ni maarifa, mipango na akili, CHADEMA WAMEKOSA VYOTE....!! "
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.