Recent content by mwajuma njechele

  1. mwajuma njechele

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuanza nae maisha

    Ukishaoa ukienda kazini usiku masela watakua wanapiga story na wife wako Piga kelele kwa muke ya mlinziiiii Sent from my iPhone using JamiiForums
  2. mwajuma njechele

    JamiiForums Tanzania Kwa sisi wanaume wa aina yetu tunapata mtihani mkubwa sana kwenye mapenzi

    Hama unapokaa kwa muda Then unakoenda ishi maisha duni sana hata 2weeks Halafu tafuta msichana akupende wewe kama ulivo Sio mali hata kama ukirudi na ukimtafuta tumia boda boda mpeleke gest za 10k au 5k akiendelea kuvumilia mpeleke home Hapo utapata mke bora Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom