Recent content by mwajuma khalid

  1. M

    Siku ya kwanza ulipoambiwa na mpenzi wako mimi na wewe basi ulijisikiaje?

    Nililia sana,,nikahisi dunia imestaki inahitaji mtu airestart lakin wapi,baaday nikazoea nakujion mjinga sana ila sijui kama nawez kuumizwa tena maana saa zote mguu moja ndani mwingin nje..na siumiii tena hat nikimkut mpenz wangu ana.....naon ni burudan yake...saluti kwa wapendanao kweli.
  2. M

    Warembo wa kinyarwanda Vs wa kichaga wapi wanakimbiza?

    Wachag waremb haswa na wanaakili ya pesa sana,,,tafuta mchaga hutakufa maskini
Back
Top Bottom