Recent content by mwajach

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akichaguliwa rais wa Tanzania utafanya nini?

    Kama mawakili wasomi waliona anafaa kuwaongoza katika chama chao cha TLS, iweje akose sifa ya kuchaguliwa hata katika ngazi ya kitongoji? Kumbuka, Lissu alishawahi kuwa mbunge tena wa kuchaguliwa na wananchi, hivyo si mtu wa kiwango hicho unachotaka kutuaminisha.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Uchaguzi wa Marekani: Trump amemkalia Kooni Harris.Yaliyompata Clinton Kumpata Harris Pia

    Nashangazwa sana na namna wenzetu wa Marekani walivyo makini katika kuwapima wagombea wao.Sifa kubwa ya mmarekani yeyote kuchaguliwa kuwa Rais ni uwezo wake wa kuliongoza Taifa kwa udhabiti.Japo historia inawahukumu kwa kutokuwahi kuwa na Rais mwanamke hili linaonekana si kipao mbele kwao.Kwani...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: John Heche kumrithi Freeman Mbowe Uenyekiti CHADEMA

    Binafsi nimebahatika kumsikiliza Heche kwenye Moja ya mikutano ya CHADEMA, nikili kuwa anauwezo mkubwa sana wa kujenga hoja za kisiasa.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada nashindwa kufuta account ya Facebook

    Umetusaidia wengi.
Back
Top Bottom