Recent content by MwajabuOmary

  1. MwajabuOmary

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA wameshindwa kumchunguza Heche?

    Ungekua serious na nchi yako ungetuambia hatua zilizokwisha kuchukuliwa dhidi ya mafisadi waliohujumu nchi hii kupitia ripoti za CAG. Yaani milioni mia tatu zinakuuma wakati kuna mabilioni kwa matilioni zimepotea. Za heche ndio chungu sana
  2. MwajabuOmary

    JamiiForums Tanzania Hakuna maridhiano(USANII) hapa; acheni tu nchi izikwe rasmi tuanze upya.

    Tuna macho lkn hatuoni na tuna masikio lkn hatusikii
  3. MwajabuOmary

    JamiiForums Tanzania PIGA KURA: Ni kiongozi gani unayemwona anafaa kuaminiwa na Watanzania kuwa Rais wa 2030/2035?

    Tumeishiwa hoja za kufanyia kazi?
  4. MwajabuOmary

    JamiiForums Tanzania Watu hatari katika taifa hili au machawa hatari

    Happyness nae naona kama kajichomeka hapo
  5. MwajabuOmary

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini kuhusu wanaotoa mawazo ya Serikali ya Tanganyika, tutaletewa kiini macho kutuhadaa tu

    Msijisahaulishe, Wazanzibari wanazo hekta sio hekari, hekta elfu 60 pale bagamoyo
  6. MwajabuOmary

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Wanatamani kuleta chokochoko, nguvu tutakayotumia awamu hii kulinda amani, haijawahi kutokea

    Kuna kauli isemayo ulevi wa madaraka, nadhani ndio hii
  7. MwajabuOmary

    JamiiForums Tanzania Atakaye Jaribu Kuandamana Atajuta na Kuilaani Siku Aliyozaliwa. Amani Na Usalama Wa Taifa ni Lazima Vilindwe kwa Jasho na Damu ili Visitoweke

    Mleta mada, Who are you mpaka utoe kauli hii nzito, au ni changamsha genge
  8. MwajabuOmary

    JamiiForums Tanzania Ester Bulaya: Mtu siyo mkurugenzi, unatumia V8 la nini? Ni hujuma ya kiuchumi

    Huyu mama siku hizi hata simuelewi hoja zake, ni kweli tunao uwezo wa kujitegemea kibajat au anaongea tu. Ni vile tu bajet yetu ni ya kimtindo lkn, lkn, lkn
  9. MwajabuOmary

    JamiiForums Tanzania Mimi Pascal Mayalla Sipongezi Kutafuta Uteuzi Wowote!. Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine Kumtia Moyo Kwa Mazuri ya Kweli!

    Paschal Mayala, habari za asubuhi, Kama mwandishi nguli wa habari, taarifa yako ni yakutaka uteuzi kwa asilimia mia moja 100%) vingenevyo ungekua unamaanisha kwamba sio kwa ajili ya uteuzi basi ungeibalance story story yako. UNATAFUTA UTEUZI WA UZEENI
  10. MwajabuOmary

    JamiiForums Tanzania Huyu Simai katumwa?-The Zanzibari Collusion

    Binafsi naona ni kama mkakati wa kichama kupitia uzanzibary. Na kilichonishangaza zaidi ni kwa nini mkuu wa muhimili ule arufusu mafumbo kwenye taasisi yake na kuingizwa kwenye hansad ya mjengo wao bila kutaka ufafanuzi, lkn pia wabunge wetu kutotoa taarifa na kushangalia, Wasijaribu kuonja...
  11. MwajabuOmary

    JamiiForums Tanzania Ninaunga mkono kutumbuliwa kwa kiongozi mwandamizi tuliyedokezwa na mbunge Sumai

    Hata mtoto wa KG 2 hawaezi kuandika utumbo huu
Back
Top Bottom