Recent content by Mwaiwendangudage

  1. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe atuma salamu za Christmas kwa watu wote Duniani

    Mt......ako wako
  2. M

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuonana na Rais wa nchi ukoje?

    Nimekujibu kwa kadri ya ushauri wako
  3. M

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuonana na Rais wa nchi ukoje?

    Lengo Ni kuonana na Mkuu wa nchi; kazi ninayo nzuri tuu. Nalima matunda Aina ya Strawberry yananisaidia KUTUNZA familia. Shida yangu Ni zaidi ya hiyo Kumbe inawezekana Ila itnigharimu miaka mingi Sana 😅😅😅😅😅😁
  4. M

    JamiiForums Tanzania Raisi akiulizwa swali lolote la kesi iliyoko mahakamani akatae kujibu

    Umeambiwa haingiliani kivipi wakati mkuu wa serikali ndiye anayeteua majaji?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuonana na Rais wa nchi ukoje?

    Lengo Ni kuonana na Mkuu wa nchi; kazi ninayo nzuri tuu. Nalima matunda Aina ya Strawberry yananisaidia KUTUNZA familia. Shida yangu Ni zaidi ya hiyo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuonana na Rais wa nchi ukoje?

    😁😁😁😁😅 Umenikumbusha nikiwa mdogo nilikuwa naishi na Bibi yangu. Sasa Bibi yangu alikuwa akipewa maziwa na mapdre wazungu. Lakini yale maziwa tulikuwa hatuyatumii kila siku, yalikuwa yakitumika kwa siku maalumu tuu. Sasa ilikuwa wakifika wageni mie ndo nilikuwa nikiitumia fursa hiyo kukataa chai...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuonana na Rais wa nchi ukoje?

    Mmmmh asantee kwa ushauri. Nilijua Ni jambo jepesi tuu maadam niwe na Nia njema
  8. M

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuonana na Rais wa nchi ukoje?

    Ok ahsante kwa ufafanuzi na ushauri. Japooo dahhh!!!!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuonana na Rais wa nchi ukoje?

    Naombeni kwa wenye uelewa muweze kunijuza. Hivi kwa Mimi mwananchi wa kawaida (hohehahe) nikitaka kuonana na mkuu wa nchi natakiwa kufuata taratibu zipi ili nimfikie! Hususani Kama Nina Jambo la muhimu ambalo nataka nimfikishie yeye mwenyewe moja kwa moja? Au kwa Hali yangu nifute kabisa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Lema: Wachagga tuna msemo unasema "Siyo rahisi kumuona shetani anavyokuja bali utamuona shetani anavyoondoka"

    Lena na wewe Pascal Hamna utofauti. Wote wachumia tumbo tulishaachaga kitambo kuwafuatilia
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mgao wa maji unatokana na ubishi na ukaidi wa binadamu pia na kudra za mwenyezi Mungu

    Swali alilouliza Ni la msingi. Mbona kipindi Cha Magu hakukuwa na mgao? Umejibu kishabiki
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kama atafanikiwa kwenye hili basi atakuwa ndio Rais bora katika historia ya Tanzania na huenda akakumbukwa kwa vizazi hata vizazi

    Mtaa gani wanaomsifia mama? Hahahaha au huko Dubai? Mtaani huku hakuna anayemuelewa mama
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Viti Maalum Neema Lugangira ampongeza Rais Samia kwenda Marekani

    Nimecheka Sana aiseee
  14. M

    JamiiForums Tanzania Sabaya akithibitisha Mahakamani kuwa Mbowe na genge lake walitaka kumuua itakuwaje?

    Mkuu kwa thread yake ilivokaa unadhani kakuelewa kweli hayo maelezo yako? Maana naona kakaa kishabiki shabiki Sanaa.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Ofisi ya Rais ‘Kazi Maalum’ ana majukumu gani?

    Huyu kazi yake kukoleza moto kwa ajili ya chetezo wakati wenzake wakiwa na paroko ndani ya muda wanafukizia ubani. Ni mtu muhimu sana. 😆😆😆😆😆😆😆😆
Back
Top Bottom