Utaratibu wa kuonana na Rais wa nchi ukoje?

So sad,Africa umungu mtu umetamaraki Sana,unaweza zuiwa hata kumuona mwenyekiti wa mtaa.

Juzi mke wangu alifika katika ofisi za psssf na kutaka kuonana na mkurugenzi ,duh bwana wewe watu wake wachini walitahamaki Sana,na kuanza kumuuliza maswali mengi sana ,mwisho wa siku walimzuia asionane naye.

Sasa nikabaki kijuiuliza ,je huyu mkurugenzi yupo hapo ofisini ili kumhudumia Nani ikiwa wenye shida ya kumuona wanazuliiwa wasimuone.

Mungu aturehemu Sana,sijui na Mimi ikiwa siku moja nikiwa kwenye nafasi ya kuhudumia watu kwa namna hiyo nitakuwa mungu mtu Kama Hawa viongozi wetu!!

Mungu tusaidie!!
Alafu shida ni kwamba hata ukiandika barua ni haohao wanazipokea na kuzizuia hukohuko chini ndo mana ukijitutumua kumsogelea boss wao wanakuzuia kwa nguvu kubwa wakihofia ni lazima utasema ulishaandika barua nyingi , huoni utekelezaji wala hupati majibu! Hii wakati mwingine inaudhi mno!
 
Mkuu nakushauri usiende maana hatakuona tena maishani
Sio kweli Bwana zipo taratibu ukifuata unaweza kumuona Bwana, japo tz huo utaratibu hauko wazi ,maana ukiwa wazi wabongo watataka KILA siku kwenda kupiga self Kama kimambi, na si kweli kwamba ufike pale upotezwe huo ni huongo , sikia nikupe tukio MOJA

Bwana mmoja kutoka Kigoma, na Kati ya wale waliopigwa chini na vyeti feki, alikaa akawaza Sana na kuamua siku MOJA KWENDA KWa jpm kabla ya kifo chake akamuombe KAZI hata ya kumpigia kiwi viatu vyake, watu kijiweni wakawa wanamuona Kama aliechanganyikiwa na vyuma kukaza

Siku ya siku Jpm katika ziara zake akawa yupo Chato, jamaa akaona lengo lake alilolipanga Sasa akalitimize KWa kwenda Chato na kukutana na jpm Ili akamuombe KAZI face by face Yani , jamaa uyo mpaka Chato,

Akafika mpaka pale maskani KWa Jpm getini akakutana na walinzi,

So akawaomba angetaka kuonana na jpm na lengo zima Kama nilivyoeleza apo juu,

Kati ya walinzi wale ,mmoja akamwambia Mzee huwezi kumuona ila wewe lengo lako kwani ni kumuona jpm au nikupata KAZI Ili kujikwamua na maisha? Au kipaumbele Chako ni kipi Kati ya hivi vitu viwili, ?

Jamaa akasema kipaumbele Cha kwanza ni KAZI, lakini pia akipata nafasi ya kumuona jpm dar moyo wake utajisikia raha Sana,

Yule mlinzi akamwambia kwamba mzee huwezi kumuona ila KWa kua kipaumbele Chako ni KAZI , vipi ukiunganishiwa sehem Ili upate KAZI upo tiyari , jamaa akasema hata KWa mda huo yupo tiyari ,

Kulikua na kampuni MOJA hivi kumbe yule mlinzi alikua na connection akamuunganisha jamaa, so jamaa hakuonana na jpm ila alitoka na connection ya KAZI, japo hakuwa analipwa pesa nyingi lakini ile KAZI imemsaidia kumrudisha kwenye utu wa maisha ,namanisha kipato angalau Cha kuendesha Familia yake

KWa Iyo sio kweli kwamba unasababu za msingi Ufike pale tu hupotezwe nafikili Utaelekezwa ila Kama utaenda kujalibu utakipata unachokitafuta
 
Huyo atakuwa pandikizi na kada wa CCM na si vingine, kwanza angepigwa na hao walinzi mpaka achakae kabisa, pia kuna jamaa alipandikizwa kutoka Karatu eti mpiga kiwi Chato nilicheka sn nilipomuona wamekaa na dikteta kwenye tv na wakati namfahamu mpaka kwao, wengine huwa wanapandikizwa, akina mama kibao wanaenda kumuona wanashida tena kubwa haswa lakini wananyimwa.
 
Inawezekana mkuu, lakini jamaa Mpaka anapigwa chini na vyeti feki namfaham
 
Mkuu kumfahamu mtu siyo issue issue ni anatumika na akina nani? hayo ni maigizo tupu mkuu mm sipo kwenye system yoyote lakini nakwambia watu wengi ukiona wamekaa na hawa watawala makatili ujue katumwa na siyo yeye hata dak moja, wote huwa wanapandikizwa hata kuuliza maswali kwenye ziara huwa ni mapandikizi tupu.
 
Anzia kwa mjumbe kwanza. Mweleze hilo jambo au shida yako. Kisha nenda kwa mwenyekiti, mtendaji, diwani, mkurugenzi, mkuu wa wikaya, mkuu wa mkoa, waziri mkuu etc
 
Mimi nadhani utaratibu wa kumuona unategemea upo eneo gani
1. kama hupo kijijini, nenda kwaafisa mdendaji wa kijiji kisha mwenyekiti wa serikali za mtaa halafu waeleze azma yako hiyo, kwa mdomo na maandishi pia.
2. Mwenyekiti/afisa mtendaji akikubali ama akikataa nenda kwa afisa mtendaji wa kata na mtafute na diwani. Kisha fanya kama kwenye number 1.
3.Nenda kwa mkurugenzi wa wilaya, afisa tawala wilaya, mkuu wa wilaya na mbunge kisha fanya fanya kama kwenye number 2.
4. Nenda kwa afisa tawala mkoa na mkuu wa mkoa, kisha fanya kama kwenye number 3
5.Nenda wizara ya mambo ya ndani mtafute katibu mkuu wa wizara na waziri wake, kisha fanya kama namba 4
6. Nenda kwa katibu mkuu kiongozi, kisha fanya kama namba 5
7.Nenda kwa mkuu wa PSU. Huyu akikugomea, tulizana na uachane na mambo ya kumuona Rais. Akikubali
8.Nenda kwa Rais ukiwa na heshima na adabu zote. Na uzungumze tena kwa staha jambo ulilokusudia kulizungumza.

Huu ndiyo mtiririko ambao nadhani ama fikiri unaweza kufaa kutumika kumuona Rais.
 
Sio kweli Bwana zipo taratibu ukifuata unaweza kumuona Bwana, japo tz huo utaratibu hauko wazi ,maana ukiwa wazi wabongo watataka KILA siku kwenda kupiga self Kama kimambi, na si kweli kwamba ufike pale upotezwe huo ni huongo , sikia nikupe tukio MOJA

Bwana mmoja kutoka Kigoma, na Kati ya wale waliopigwa chini na vyeti feki, alikaa akawaza Sana na kuamua siku MOJA KWENDA KWa jpm kabla ya kifo chake akamuombe KAZI hata ya kumpigia kiwi viatu vyake, watu kijiweni wakawa wanamuona Kama aliechanganyikiwa na vyuma kukaza

Siku ya siku Jpm katika ziara zake akawa yupo Chato, jamaa akaona lengo lake alilolipanga Sasa akalitimize KWa kwenda Chato na kukutana na jpm Ili akamuombe KAZI face by face Yani , jamaa uyo mpaka Chato,

Akafika mpaka pale maskani KWa Jpm getini akakutana na walinzi,

So akawaomba angetaka kuonana na jpm na lengo zima Kama nilivyoeleza apo juu,

Kati ya walinzi wale ,mmoja akamwambia Mzee huwezi kumuona ila wewe lengo lako kwani ni kumuona jpm au nikupata KAZI Ili kujikwamua na maisha? Au kipaumbele Chako ni kipi Kati ya hivi vitu viwili, ?

Jamaa akasema kipaumbele Cha kwanza ni KAZI, lakini pia akipata nafasi ya kumuona jpm dar moyo wake utajisikia raha Sana,

Yule mlinzi akamwambia kwamba mzee huwezi kumuona ila KWa kua kipaumbele Chako ni KAZI , vipi ukiunganishiwa sehem Ili upate KAZI upo tiyari , jamaa akasema hata KWa mda huo yupo tiyari ,

Kulikua na kampuni MOJA hivi kumbe yule mlinzi alikua na connection akamuunganisha jamaa, so jamaa hakuonana na jpm ila alitoka na connection ya KAZI, japo hakuwa analipwa pesa nyingi lakini ile KAZI imemsaidia kumrudisha kwenye utu wa maisha ,namanisha kipato angalau Cha kuendesha Familia yake

KWa Iyo sio kweli kwamba unasababu za msingi Ufike pale tu hupotezwe nafikili Utaelekezwa ila Kama utaenda kujalibu utakipata unachokitafuta
Lengo Ni kuonana na Mkuu wa nchi; kazi ninayo nzuri tuu. Nalima matunda Aina ya Strawberry yananisaidia KUTUNZA familia. Shida yangu Ni zaidi ya hiyo
 
Naombeni kwa wenye uelewa muweze kunijuza. Hivi kwa Mimi mwananchi wa kawaida (hohehahe) nikitaka kuonana na mkuu wa nchi natakiwa kufuata taratibu zipi ili nimfikie!

Hususani Kama Nina Jambo la muhimu ambalo nataka nimfikishie yeye mwenyewe moja kwa moja?

Au kwa Hali yangu nifute kabisa mawazo hayo? Ni kama milima HAIKUTANI?
P.O.Box 9120,Dar es Balaam. Anuani ya Ikulu.
Unaweza kuandika barua kwa rais ukamweleza shida yako. Of course barua haitapokelewa na rais.
Au unaweza kwenda reception ukasema shida yako. Halafu utaambiwa,"Hiyo shida yako ulipaswa kuipeleka kwa Katibu Kata"
Au unaweza kuambiwa"O oookay,tutakupeleka,utamuona rais"
 
Ukiwa na hela kama Bill Gates au Mo or like any billionaire ni rahisi sana kuwaona hawa maraisi, na watakubabaikia kwelikweli, nani hataki kuwa na rafiki billionaire??
 
Mimi nadhani utaratibu wa kumuona unategemea upo eneo gani
1. kama hupo kijijini, nenda kwaafisa mdendaji wa kijiji kisha mwenyekiti wa serikali za mtaa halafu waeleze azma yako hiyo, kwa mdomo na maandishi pia.
2. Mwenyekiti/afisa mtendaji akikubali ama akikataa nenda kwa afisa mtendaji wa kata na mtafute na diwani. Kisha fanya kama kwenye number 1.
3.Nenda kwa mkurugenzi wa wilaya, afisa tawala wilaya, mkuu wa wilaya na mbunge kisha fanya fanya kama kwenye number 2.
4. Nenda kwa afisa tawala mkoa na mkuu wa mkoa, kisha fanya kama kwenye number 3
5.Nenda wizara ya mambo ya ndani mtafute katibu mkuu wa wizara na waziri wake, kisha fanya kama namba 4
6. Nenda kwa katibu mkuu kiongozi, kisha fanya kama namba 5
7.Nenda kwa mkuu wa PSU. Huyu akikugomea, tulizana na uachane na mambo ya kumuona Rais. Akikubali
8.Nenda kwa Rais ukiwa na heshima na adabu zote. Na uzungumze tena kwa staha jambo ulilokusudia kulizungumza.

Huu ndiyo mtiririko ambao nadhani ama fikiri unaweza kufaa kutumika kumuona Rais.
Una elimu kiasi gani ? 🤣 🤣 🤣
 
Sio kweli Bwana zipo taratibu ukifuata unaweza kumuona Bwana, japo tz huo utaratibu hauko wazi ,maana ukiwa wazi wabongo watataka KILA siku kwenda kupiga self Kama kimambi, na si kweli kwamba ufike pale upotezwe huo ni huongo , sikia nikupe tukio MOJA

Bwana mmoja kutoka Kigoma, na Kati ya wale waliopigwa chini na vyeti feki, alikaa akawaza Sana na kuamua siku MOJA KWENDA KWa jpm kabla ya kifo chake akamuombe KAZI hata ya kumpigia kiwi viatu vyake, watu kijiweni wakawa wanamuona Kama aliechanganyikiwa na vyuma kukaza

Siku ya siku Jpm katika ziara zake akawa yupo Chato, jamaa akaona lengo lake alilolipanga Sasa akalitimize KWa kwenda Chato na kukutana na jpm Ili akamuombe KAZI face by face Yani , jamaa uyo mpaka Chato,

Akafika mpaka pale maskani KWa Jpm getini akakutana na walinzi,

So akawaomba angetaka kuonana na jpm na lengo zima Kama nilivyoeleza apo juu,

Kati ya walinzi wale ,mmoja akamwambia Mzee huwezi kumuona ila wewe lengo lako kwani ni kumuona jpm au nikupata KAZI Ili kujikwamua na maisha? Au kipaumbele Chako ni kipi Kati ya hivi vitu viwili, ?

Jamaa akasema kipaumbele Cha kwanza ni KAZI, lakini pia akipata nafasi ya kumuona jpm dar moyo wake utajisikia raha Sana,

Yule mlinzi akamwambia kwamba mzee huwezi kumuona ila KWa kua kipaumbele Chako ni KAZI , vipi ukiunganishiwa sehem Ili upate KAZI upo tiyari , jamaa akasema hata KWa mda huo yupo tiyari ,

Kulikua na kampuni MOJA hivi kumbe yule mlinzi alikua na connection akamuunganisha jamaa, so jamaa hakuonana na jpm ila alitoka na connection ya KAZI, japo hakuwa analipwa pesa nyingi lakini ile KAZI imemsaidia kumrudisha kwenye utu wa maisha ,namanisha kipato angalau Cha kuendesha Familia yake

KWa Iyo sio kweli kwamba unasababu za msingi Ufike pale tu hupotezwe nafikili Utaelekezwa ila Kama utaenda kujalibu utakipata unachokitafuta
Lengo Ni kuonana na Mkuu wa nchi; kazi ninayo nzuri tuu. Nalima matunda Aina ya Strawberry yananisaidia KUTUNZA familia. Shida yangu Ni zaidi ya hiyo
Mimi nadhani utaratibu wa kumuona unategemea upo eneo gani
1. kama hupo kijijini, nenda kwaafisa mdendaji wa kijiji kisha mwenyekiti wa serikali za mtaa halafu waeleze azma yako hiyo, kwa mdomo na maandishi pia.
2. Mwenyekiti/afisa mtendaji akikubali ama akikataa nenda kwa afisa mtendaji wa kata na mtafute na diwani. Kisha fanya kama kwenye number 1.
3.Nenda kwa mkurugenzi wa wilaya, afisa tawala wilaya, mkuu wa wilaya na mbunge kisha fanya fanya kama kwenye number 2.
4. Nenda kwa afisa tawala mkoa na mkuu wa mkoa, kisha fanya kama kwenye number 3
5.Nenda wizara ya mambo ya ndani mtafute katibu mkuu wa wizara na waziri wake, kisha fanya kama namba 4
6. Nenda kwa katibu mkuu kiongozi, kisha fanya kama namba 5
7.Nenda kwa mkuu wa PSU. Huyu akikugomea, tulizana na uachane na mambo ya kumuona Rais. Akikubali
8.Nenda kwa Rais ukiwa na heshima na adabu zote. Na uzungumze tena kwa staha jambo ulilokusudia kulizungumza.

Huu ndiyo mtiririko ambao nadhani ama fikiri unaweza kufaa kutumika kumuona Rais.
Kumbe inawezekana Ila itnigharimu miaka mingi Sana 😅😅😅😅😅😁
 
Mkuu jaribu kifuata utaratibu tuu. Hakuna kinachoshindikana...
Punguza uoga wa kifikra ...chakufanya andika barua then pereka kwa katibu ikulu.. kama una sababu za msingi za kukutana naye.

Lasivyo jaribu kukutana na watendaji wadogo hawa wa chaini
 
Unaanzia wilayani, mkuu wa wilaya anampasia mkuu wa mkoa, akiona kuna haja ya kuonana na raisi, anaunganisha kamba ikulu, unapangiwa mda.
 
Back
Top Bottom