Kwahiyo wewe umefundishwa na watu wasio na akili? Heshimu waliokuongoza kufika ulipo sasa. Akikosea mwalimu au polisi au mwanajeshi au mwanasheria au mwasibu mmoja usihukumu wote kwa kosa au uzembe wa mtu mmoja kisa anataaluma flan basi ionekane watu wete wenye taaluma hiyo nao ni wakosaji wa...
Mapambano yanaendelea japo nimepunguza kasi kaka maana chance za transfer bila kujulikana ni kipengele ndugu yangu. Mungu akipenda nataka kurudishi shule mwaka huu mwishoni.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.