Recent content by mwaikambo_jr

  1. mwaikambo_jr

    Mcheza Mpira Victor Wanyama, apewa jina la mtaa jiji Dar, Meya atoa ufafanuzi

    Wewe uliyepokea vyandarua vya msaada wa watu wa kimarekani na kwenda kuvulia samaki, leo unahoji Obama kupewa mtaa?!
  2. mwaikambo_jr

    Mcheza Mpira Victor Wanyama, apewa jina la mtaa jiji Dar, Meya atoa ufafanuzi

    Aende kuwaambia tu kuwa amekatwa [emoji23][emoji23][emoji23]
  3. mwaikambo_jr

    Mcheza Mpira Victor Wanyama, apewa jina la mtaa jiji Dar, Meya atoa ufafanuzi

    Afadhali, wamualike Ray Vanny akatumbuize fainali wauite Ray Vanny Street tu kuliko kutuwekea watu wa ajabu ajabu
  4. mwaikambo_jr

    Mcheza Mpira Victor Wanyama, apewa jina la mtaa jiji Dar, Meya atoa ufafanuzi

    Hasheem Thabeet alianza kwa kututoa kimasomaso na alivyorudi alifanya mengi zaidi ya aliyoyafanya Wanyama ila hakupewa heshima hiyo aliyopewa Wanyama, Hasheem Thabeet aliitangaza Tanzania vyema kuliko ambavyo Wanyama ataweza kuitangaza Tanzania kwa wazungu ila Hasheem hakupewa. Wabongo tuna...
  5. mwaikambo_jr

    Mcheza Mpira Victor Wanyama, apewa jina la mtaa jiji Dar, Meya atoa ufafanuzi

    Hehehe, wabongo chenga sana sisi [emoji23][emoji23][emoji23]. Kwa hiyo Diamond Trust Bank imeanzishwa kumuenzi Chibu Dangote?!
  6. mwaikambo_jr

    Mcheza Mpira Victor Wanyama, apewa jina la mtaa jiji Dar, Meya atoa ufafanuzi

    Ndo uwezo wako ulipoishia hapo eti?! [emoji23][emoji23][emoji23]
  7. mwaikambo_jr

    Mcheza Mpira Victor Wanyama, apewa jina la mtaa jiji Dar, Meya atoa ufafanuzi

    Na hata huyu kwa nini tusimpe sapoti kwa kununua jezi zake tu ikaishia hapo
  8. mwaikambo_jr

    Mcheza Mpira Victor Wanyama, apewa jina la mtaa jiji Dar, Meya atoa ufafanuzi

    Diamond kila siku anaenda KENYA, sijawahi kusikia kuna mtaa huko unaitwa Diamond Street na kila mtu anajua namna Diamond alivyoitoa kimasomaso East Africa kwenye fani ya muziki ila wenzetu hawana hizo shobo za kijinga za namna hii. Watanzania tutaendelea kuwa vituko na kuzarauliwa na hawa...
  9. mwaikambo_jr

    Mimba imeingia majuzi, nifanyaje?

    Mtoto akizaliwa muite sikujua, ndo ushauri ninaoweza kukupa
  10. mwaikambo_jr

    Sakata la Mchanga wa Madini: Mwanasheria wa ACACIA yuko London kufungua kesi

    Waliokosa uzalendo ni hao waliotufikisha hapa kwa kukubali mikataba mibovu
  11. mwaikambo_jr

    M/kiti CCM Kilakala ndg. Hoza na Katibu CCM mkoa Morogoro ndg. Kimeta wamepata ajali

    Na ndipo atakapoamua kwenda kujitundika kabisa..hahaha
  12. mwaikambo_jr

    M/kiti CCM Kilakala ndg. Hoza na Katibu CCM mkoa Morogoro ndg. Kimeta wamepata ajali

    Huyo jamaa akija kushtuka hapo alipolala, Lowassa kishaapishwa tayari
  13. mwaikambo_jr

    Utafiti wa Synovate: Magufuli aongoza kwa 62%. Yabainika watanzania bado wana imani na CCM

    Raia msipanick sana ile ya kwanza imejumuisha idadi ya watu 1800 hii imejumuisha idadi ya watu takribani 1300 waliotoa maoni yao
  14. mwaikambo_jr

    Mkuu wa mkoa Mwanza awataka bodaboda kukabidhi kadi za mpiga kura, wagoma na kuibua fujo

    Hivi Nyerere alishawahi kunena mtu anayefosi kuingia ikulu kwa kila hali ni wa kuogopwa, hawa CCM ni wa kuwaogopa kama ukoma maana wanajaribu kutumia kila njia kuingia ikulu hata kudiriki kutishia raia...
  15. mwaikambo_jr

    Tatizo la kutokwa na damu kwenye fizi: Fahamu chanzo na namna ya kutatua tatizo hili

    Wamarekani na mataifa makubwa yote duniani wameshindwa kupata tiba ya kutibu kisukari...Ewe mtanzania epuka matapeli, kisukari hakina tiba
Back
Top Bottom