Recent content by Mwagito255

  1. M

    Anguko la Diamond Platnumz

    Kama wewe ni mfuatiliaji wa trend ya muziki hapa nchini utagundu hivi karibuni heshima ya diamond kimuziki imeshuka sana ila kinachoweka juu ni tetesi na magazeti na ni habari zisizohusiana na muziki, badala yake huu uzembe unawapa nafasi vijana kama Wiista (...
  2. M

    Maadili na Kuuvaa uhusika kwenye Video za Muziki Bongo

    Mimi naona hili ni tatizo sana kwetu unakuta msanii anaigiza kitu ambacho kwa kweli hakijatendea uhalisia wa hiyo subject/situation anayoiimbia haki kabisa na kuondoa ile dhamira ya sanaa ya Video za muziki, hasa mimi hili swala la kwenda kushoot video South Africa wakati kwetu hapa kuna...
Back
Top Bottom