Mwagito255
New Member
- Jan 27, 2015
- 2
- 1
Mimi naona hili ni tatizo sana kwetu unakuta msanii anaigiza kitu ambacho kwa kweli hakijatendea uhalisia wa hiyo subject/situation anayoiimbia haki kabisa na kuondoa ile dhamira ya sanaa ya Video za muziki,
hasa mimi hili swala la kwenda kushoot video South Africa wakati kwetu hapa kuna location kibao za ukweli sielewi halafu cha kushangaza zaidi ni kwamba video zilizoshutiwa hapa hapa kwetu ndo wananchi hatuna habari nazo kabisa..
Sasa nataka uangalie hizi video mbili mandhari mbili tofuti na uniambie ipi ni video bora zaidi na kwa nini
( https://www.youtube.com/watch?v=0IYsRm84KZU ) na Video hii hapa ( https://www.youtube.co/watch?v=JTzhUrRuKHo )