Hili swala sio dogo!Yafaa yaangaliwe yote kwa mapana. Na sisi watanzania tuache kula rushwa na kuwanyanyasa wazawa, sasa mwisho wake unakuwa mbaya si kwa wageni tu hata kwa wenyeji. Jamani kama mliangalia mdaharo uliofanyika mwezi kama wa saba hivi pale Nkuruma chuo kikuu cha Dar es Salaam...
Jamani, hii nini?tunakwenda wapi na tupo wapi?Jamani hivi mbona waziri wa Viwanda na biashara alisha liongelea Hili?Tatizo sio kufukuza wafanya biashara wadogo swala serikali iweke mazingira ya kila mtu kupata kipato chake kwa njia HALALI.Na hii hali ambayo Mbunge wa chama cha upinzani akiongea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.