Dhahiri shahiri bila kupepesa macho nanyoosha malalamiko yangu Ofisi ya halmashauri Njombe mjini Kuwa Cheo ni Dhamana sio sifa na lawama hizi ziende moja kwa moja kwenye kitengo cha NIDA, Mjue tumeteseka Mashambani na makazini na viwandani, mikono yetu ikapasuka pasuka kwa kazi ngumu tukajituma...
Nawasalimu kwa Jina la Mungu mwenye Rehema na upendo mkubwa!
Wana JF nimeingia Hapa kwenu leo nikigonga hodi Katika milango ya Mawazo yenu.
Nipokeeni kwa Moyo mkunjufu na Upendo kamili!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.