Excel,
Unataka picha ya ofisi yetu mkuu, japokuwa haiwezi kukusaidia saana ila kwa niaba ya ofisi ninaweza kukutumia picha kama utakuwa unauhitaji sana
Avemaria,
Bariadi accomodation sio shida labda kama huko ulipo.
Kama utapewa nafasi ya kufanya kazi katika ofisi yetu na ww unatoka mbali, nakuahidi kuwa tutakutafutia accomodation kulingana na hadhi na jinsi yako. Kama unasifa bado tunapokea maombi yenu ila ni kwa wenye sifa na uzoefu tu...
Ndugu Holy tz, soma vizuri Tangazo letu then utaelewa kuwa tunahitaji watu wa aina gani. Yaani uwe na certificates, diploma,degrees au mastres sisi tutakuajiri ili mradi tu uwe na uwezo wa kkufanya kazi tajwa hapo juu
Granta,
Bariadi ni makao makuu ya Mkoa wa Simiyu, ukiomba ajira na kuonekana unasifa basi utapewa support nzuri tu ya kufika huku na pia utapewa support nzuri tu ya kuanza maisha. Mwadila Internet cafe & Secretarial Services husaili waombaji ajira kupitia kwenye mtandao (online interview) hivyo...
Ni kweli, tunathamini sana taaluma ya mtu, mshahara wetu ni mzuri ukilinganisha na mishahara ya watu wengine around Bariadi wanaotoa huduma kama zetu, Karibu sana ndugu yangu Junior. Cux
OFISI YA MWADILA INTERNET CAFE & SECRETARIAL SERVICES YA BARIADI MJINI, SIMIYU;
INAPENDA KUWATANGAZIA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WOTE KUWA INAHITAJI VIJANA WAWILI WA KUFANYA NAO KAZI ZA UHAZILI (SECRETARIAL SERVICES) NA KAZI ZINAZOHUSIANA NA UUZAJI WA FEDHA KAMA M-PESA,TIGO PESA, AIRTEL MONEY...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.