Recent content by Mwabhleja

  1. Mwabhleja

    Waziri Mkuu Mwigulu ametangaza Kanisa la Gwajima lifunguliwe, kwanini askari wametanda na kufukuza waumini?

    Ushuhuda na Sababu za Askari Kuwazuia Waumini Ufungaji wa Usajili wa Kanisa Msajili wa Jumuiya za Kiraia alitangaza kufutwa kwa usajili wa kanisa la Gwajima (Glory of Christ Tanzania / Ufufuo na Uzima), kwa madai kwamba mahubiri ya askofu yalikuwa na mwelekeo wa kisiasa na kuhatarisha amani ya...
  2. Mwabhleja

    Kibonzo cha Rais Samia kilichoficha ujumbe mzito wa hatma ya magufuli na kutoeleweka kwa mashushushu

    Nikuwekea katuni reference ya kibonzo cha 2015 lakini kama nilivyoandika mwishoni ni ngumu kuelewa kama IQ ni ndogo lakini pia kama mazingira yanayokuzunguka yamekithiri soft knowledge. Si kila code itaeleweka kwa kila mtu
  3. Mwabhleja

    Kibonzo cha Rais Samia kilichoficha ujumbe mzito wa hatma ya magufuli na kutoeleweka kwa mashushushu

    Hii ilikuwa tarehe 15 June 2015, katika nyakati ambazo joto la uchaguzi mkuu katika kiti cha URAIS lilikuwa limepanda Sana. Macho, masikio, pua na mdomo vilielekezwa kwa Hayati John Magufuli na Edward Lowassa na hakika hakukuwa na upevu wa maono kwa manabii, MASHUSHUSHU, wanausalama na hata...
  4. Mwabhleja

    GE2025 Kulikoni walioitwa wabunge wa COVID-19 ambao walifukuzwa uanachama wa CHADEMA wanakubalika zaidi kwa wananchi wakati CHADEMA imesahaulika kabisa?

    Unasemaje kitu kimesahaulika wakati wewe binafsi hujakisahau mpaka unaamka asubuhi sana kukiwekea thread?
  5. Mwabhleja

    GE2025 Kulikoni walioitwa wabunge wa COVID-19 ambao walifukuzwa uanachama wa CHADEMA wanakubalika zaidi kwa wananchi wakati CHADEMA imesahaulika kabisa?

    Huna content yoyote hapo una political delusion, unavyodhani wewe unaamini ndivyo hali ilivyo huna facts wala grounds za kuweka conclusion eti COVID wamekuwa maarufu kuzidi CHADEMA hiyo research imefanyika lini, wapi, hypothetical questions zilikuwa ZIPI? sample size ilikuwaje? Hujui tofauti ya...
  6. Mwabhleja

    GE2025 Kulikoni walioitwa wabunge wa COVID-19 ambao walifukuzwa uanachama wa CHADEMA wanakubalika zaidi kwa wananchi wakati CHADEMA imesahaulika kabisa?

    Kakojoe urudi kulala umeamka na wenge la ndoto ya uchawa na fikra za kipuuzi. Ukiamka tena weka poll ya kuuliza kipi maarufu kati ya hao COVID wako na CHADEMA
  7. Mwabhleja

    GE2025 Ahadi za Mgombea Urais CCM, Samia Suluhu Hassan kwa siku 100 za kwanza za uongozi wake miaka mitano ijayo (2026 -2030)

    Kilichomkwamisha kufanya hayo kwa miaka MINNE ni nini? Nguvu za kufanya kwa siku 100 zitatoka wapi na zilikuwa wapi? NIJIBIWE VIZURI TAFADHARI
  8. Mwabhleja

    Kwenye vituo vya kupigia kura Kuna mawakala wa vyama vya siasa vyote kura zinahesabiwa kwa uwazi Je! Hizo NIDA zinatoka wapi? hojini Kama wasomi basi

    Unajua nini kuhusu MAHUSIANO ya tanzidata ya NIDA na BVR system? Kama hujui kitu kakojoe ulale huwezi jua vitu vya ndani. Unakuta kituo kilikuwa na watu 300 lakini matokeo yataonyesha wapiga kura walikuwa 400 mgombea kashinda kwa kishindo unadhani inatumika mbinu gani?
  9. Mwabhleja

    Tundu Lissu aanza kuwaaga wanachama na wafuasi wake kwa huzuni na hisia sana. Je, ameshajua mwisho wa kesi yake na haki yake anayostahili?

    Kusema ukweli miaka ya hivi karibuni ngumu kumpata kijana wa chama cha kijani akiwa na upeo mkubwa wa kufikiri. Wengi wamekuwa kama chiriku tu
  10. Mwabhleja

    Aweso aitaka RUWASA ifikishe maji vijiji vyote

    MAPUNGUANI UNASEMAJE VIJIJI VYOTE HALAFU TENA UNASEMA KASORO VIJIJI 1500? DAR TU MAJI BAADHI YA MITAA YANATOKA MARA MBILI KWA WIKI NA HAKUNA MABOMBA MAPYA TANGU ENZI ZA MKAPA
  11. Mwabhleja

    GE2025 Afrobarometer: Rais Samia atashinda Uchaguzi akigombea na yeyote kwa 83%

    Matapeli wa kisiasa wanapita njia za Msoga enzi za Reddit
Back
Top Bottom