Recent content by Mwabange

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Wazanzibar walivyoandamana kudai Muungano uvunjwe

    Ngoja niwaambie , Umoja ndio nguvu lakini utengano ni udhaifu , Wazee wetu waliungana kwa upendo mkubwa ili yule Mkoloni asirudi tena , Ila tunaweza kurekebisha kasoro , na kuweka mambo sawa ! Mungu bariki wanzilishi wetu, na ibariki Tanzania yetu !
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Wazanzibar walivyoandamana kudai Muungano uvunjwe

    Kama Zanzibar hawataki muungani basi tuachane nao , sisi bara huenda tunawalazimisha wenzetu undugu , tuachane nao , yaani mpaka wanafikia kuandamana , Ila ni ubinafsi tu unawasumbua hawa wenzetu !
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kumuamini Mungu lakini, sijaambulia chochote kwenye imani hii

    Ndugu kwanza punguza ujuaji , Mungu ni Roho tena ni mtakatifu , naye huonekana kwao walio wanyenyekevu wa Moyo 1. Mungu ni mtakatifu hivyo unatakiwa kujitakasa kwa kumwamini Bwana Yesu Kristo ili ile damu yake iliyomwagika msalabani ikutakase , ili uwe safi , hapo utakuwa na uhusiano na mwana ...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sukari imepanda Bei. Hapo ulipo bei ipoje?

    Na bado hiyo sukari itauzwa bei ya chini kuliko ya kwetu , ndio tushangae . Hata ya Malawi ni bei ya chini , lakini wanatulazimisha wananchi tununue sukari yetu kwa bei ghali , hawa jamaa sijui wakoje !
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sukari imepanda Bei. Hapo ulipo bei ipoje?

    Tsh.3000/- @Kg
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kansa ya matiti inammaliza mke wangu nikiwa nashuhudia, sina la kufanya. Sijui kama naweza kusahau hili

    Pia aachane kabisa na vitu vya sukari Ila anitafute kwenye kampuni yetu tunatibu kansa kabisa , kwa dawa asili zenye kanuni ya hali ya juu ! Wasilana nasi dawa za Kansa na aina nyingine nyingi kulingana na tatizo la mtu , muda wa tatizo , athari yake n.k Tupigie +255757577995...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Israel yatangaza kuanza kukodisha wanajeshi mamluki

    Hawa Hamas ni jeshi la Gaza , lilijizatiti miaka na miaka , limechomba mahandaki ya kutisha , Halafu bora upigane na nchi kwa ujumla kuliko kikundi ,ni ngumu sana !
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kansa ya matiti inammaliza mke wangu nikiwa nashuhudia, sina la kufanya. Sijui kama naweza kusahau hili

    Kansa asili yake ni hypertension kwenye mfumo wa Seli, Kuna High blood pressure, High sugar, Kuna Cancer , zote hizi ni Fire toxin high , Ila inategemea ni wapi Fire high kwenye mfumo wa Moyo ni = High blood pressure , kwa maana nyingine interaction / communication kati ya Hyper & Hypo hakuna...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kansa ya matiti inammaliza mke wangu nikiwa nashuhudia, sina la kufanya. Sijui kama naweza kusahau hili

    Kwa nini Kansa ya matiti hutokea? Matiti ni mojawapo kwenye udhibiti wa mfumo wa Uzazi , Mfumo wa Uzazi kwa mwanamke upo chini ya udhibiti wa mfumo wa INI & NYONGO ( LIVER & GALLBLADDER SYSTEM “LG”) LG Kazi yake ni Kutunza damu na kuachia damu mwilini , Hedhi kwa mwanamke hutegemea afya ya mfumo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kansa ya matiti inammaliza mke wangu nikiwa nashuhudia, sina la kufanya. Sijui kama naweza kusahau hili

    Zamani wazazi wetu Walirithi tiba asili , lakini Sasa hivi tiba asili ni Kisayance kabisa , Mimi nashikilia kampuni tiba asili namba 1 duniani , makao makuu yake ni Marekani ( TCM / Traditional Chinese Medicine) lazima uende darasani usome na ufanye mitihani , ujue mwili ukoje ,Mifumo yake...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kansa ya matiti inammaliza mke wangu nikiwa nashuhudia, sina la kufanya. Sijui kama naweza kusahau hili

    Kitu cha kwanza unatakiwa kujua kuwa Kansa ni nini , kabla hujatafuta tiba sahihi 1. Ondoa hofu ,maana hofu ni nyenzo ya kansa kusambaa kwa haraka 2. Surgery? Iwe njia ya dharura tu , ni kweli upasuaji hutoa eneo la Kansa lakini haliwezi toa vichocheo vyake ( Cancer ground) hivyo kufanya...
Back
Top Bottom