Recent content by mvuma

  1. M

    JamiiForums Tanzania CCM kwenda UKAWA na Siasa za mafanikio binafsi

    Tunajua mtapungua tu humu baada ya tarehe 25 octoba!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Unafikili nani alikubalika zaidi jimboni kwake kati ya Dr. Slaa na Lowassa?

    Habari ya humu jamii forum.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kazi Kweli Kweli: Nani Amebadilika - Lowassa, Mimi au Wewe?

    Huwezi kushauri watu kuifanyia majaribio nchi yao,acha tumchague rais ambaye tuna uhakika naye! CCM haitakuwa na wezi tena, wezi wote mmechukua nyinyi, ni chama safi cha mabadiliko ya kweli. Mabadiliko huletwa na aina ya kiongozi kwa sababu ndiye pekee anayeweza kuubadilisha mfumo . Watanzania...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wapinzani endeleeni na nyimbo zenu zisizo na kikomo

    Watanzania wengi hawasali,hata wanaposali hawamaanishi. Wengine hawajui kabisa kuliko na makanisa wala misikiti.Wengine hata matambiko hakuna, wapo tu! Waacheni baada ya uchaguzi watajifunza kitu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Mahaba yakizidi hupunguza uwezo wa kufikiri!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tutamchagua lowasa tu awe mgonjwa au awe fisadi

    Acha utaahira,hujui hata unachokisema,hakuna chama kinachitwa ukawa Tanzania.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tutamchagua lowasa tu awe mgonjwa au awe fisadi

    Sema utamchagua wewe, usitusemee! Nasi tunajua tutamchagua nani!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wapiga dili waandamana na mgombea

    Good observation, keep on assisting more fellow Tanzanians to understand the situation!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wasomi wa Elimu ya Juu wakataa kuburuzwa

    Hakuna serikali yoyote duniani kwa sasa inayofanya hivyo.Hata sekondari ni kwa sababu imebadilishwa kuwa elimu ya msingi na lazima, hivyo inabidi owe bure.
  10. M

    JamiiForums Tanzania TETESI:dr slaa kuunguruma jangwani 29/08/2015

    Acha kuleta tetesi za kijinga!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Makinda (Njombe Kusini) Ukawa wapita bila kupingwa?

    Mbona walioko jimboni hawasemi?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tukubaliane, CCM wala MAGUFULI hawawezi kutuletea MAENDELEO! Ni ulaghai tu!!

    Hongera kwa kutimiza wajibu wako wa kuwaelimisha watu wote wanaoendekeza-mihemko ya kisiasa. Hongera kwa ujumbe murua!
  13. M

    JamiiForums Tanzania ITV Habari katika hili mmepotosha kwa makusudi

    Wewe mwana habari? Ungeripoti wewe taarifa sahihi! Acha mahaba
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa, akiwa kwenye daladala leo asubuhi

    Huyu mnafiki muda wote huo wa maisha yake hajui matatizo ya daladala? Tuwe makini!
Back
Top Bottom